Ulitamba sana unakumbuka? πΉπΉKwa kweli hongereni sanaaa!! Mkichukua na Yuefa, mbona itabidi nitafute Pa kujifichaa,
Waja wamenipania hadi naogopaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Maka naomba nikupe address unitumie mzigo wangu ahadi ni deni πΉNatuliaje na arsenal kabeba NDOO , miaka 22 sio mchezo.
Washika mitutu wa London tuko wengi πΉπΉMkuu, kumbe wewe na Mimi tunaishabikia Arsenal. Aisee nimefurahi sana baada ya kugundua kuwa watu wengi humu ninaowaheshimu ni washika mitutu wenzangu π.
πΉπΉπΉ Basi usilie sana tutawapa hii ndoo mtutunzie..!!Asenoo wote qumamao! Mmekaa miaka 22 bila kombe, jana mmeshinda kombe kwa ndondokela mnakuja hapa kutupayukia makelele yenu. Nyie wehu nini? Je, mngeshinda hilo kombe baada ya miaka 10 si mngetembea barabarani bila nguo? Sijawahi kuona mashabiki wenye akili za kiuendawazimu kama hawa wa Asenoo. Ni shida.
Babu nawe mshika mitutu πSubira huvuta heri wana Gunners wenzangu
Hii safari haikuwa rahisi hata kidogo, tumeambiwa maneno mengi ya kutukatisha tamaa
Ambayo kwa sehemu kubwa yalichangia baadhi ya waliokuwa mashabiki wenzetu wa Arsenal kuhamia timu nyingine za Man City, Chelsea hata wengine kudiriki kwenda Newcastle utd
Kocha wetu amejitahidi sana kurudisha morale ya timu yeye pamoja na benchi lake la ufundi, katika miaka yake 8 akiwa kama Kocha wa timu ya Arsenal, tumeona Mikel Arteta akitumia mbinu mbalimbali kuanzia kucheza mpira wa kuburudisha wa Pep Guardiola hadi kuamua kucheza haram football wa JosΓ© Mourinho
Iwapo tutafanya maboresho ya kikosi chetu hasa eneo la Kiungo cha Ukabaji na ushambuliaji, tukapata kiungo mshambuliaji mwenye jicho la mwewe kama la Mesut Γzil ama Cesc FΓ bregas nina amini tutaenda kuwa tishio kwa miaka 4 hadi 6 ijjayo, kwani timu yetu imesheheni wachezaji wengi vijana
Hongereni kwa kila mmoja wetu humu, the waiting is over now πͺ
COYGs, Let's celebrate π₯
πΉπΉπΉ Nkamu em tulia kutesa kwa zamu..!!Hatimaye vipofu wameona mwezi
Gen Z gunners waliozaliwa 2005
Leo ndio wanaishuhudia team Yao ikibeba ubingwa.
Tycoon makaveli jr. El classico, diego simeone, thierry henry kichogo, mtakatifu cazorla.. fundi wa mpira, kiraka wa boli, kushoto natuliza, kulia nafinya, kushoto napasiaKama nakuona vile bwana Santi Cazorla π.
TUma hsina tabu, naikumbuka ahadi.Maka naomba nikupe address unitumie mzigo wangu ahadi ni deni πΉ
[emoji23][emoji23][emoji23], hongerenii sanaa bhana.Na ujifiche kweli, maana itabidi tuwajutishe mliunanga sana [emoji1787]
Si utuliee uduuu jamanii, [emoji23][emoji23][emoji23]Ulitamba sana unakumbuka? [emoji81][emoji81]
Wewe na nkamu Saint Anne wa liverkuku mlijua kunichamba haya KIKO WAAAPI?
Woyooooooooo..!!TUma hsina tabu, naikumbuka ahadi.
πΉπΉπΉ Mapema nalo tunabeba..!!Si utuliee uduuu jamanii, [emoji23][emoji23][emoji23]
Subirii UEFA uchukue utambe zaidi.
Nilianza kitambo sana ila huwa najificha sana maana samtaimz watu wakiona unaishabikia Aseno wanakuona kama mwehu π.Washika mitutu wa London tuko wengi πΉπΉ
Ila wewe umeanza juzi, kwenye huu uzi sijawahi kukuona..!!
Yaani nilitaka nishangae nisikuone hapa Nkamu ππππππΉπΉπΉ Nkamu em tulia kutesa kwa zamu..!!
Nifanyie free derivery ya cake ya Arsenal
ππππUlitamba sana unakumbuka? πΉπΉ
Wewe na nkamu Saint Anne wa liverkuku mlijua kunichamba haya KIKO WAAAPI?
Nakubali mkuu π. Enzi hizo niliitwa Emmanuel Petit, kutokana na jadi yangu ya kukaba hadi kivuli uwanjani, ilikuwa ni ama mpira upite wewe ubaki au wewe upite mpira ubaki.Tycoon makaveli jr. El classico, diego simeone, thierry henry kichogo, mtakatifu cazorla.. fundi wa mpira, kiraka wa boli, kushoto natuliza, kulia nafinya, kushoto napasia
Mala ya mwisho kubeba taji ilikua liniNyumbu ni kina nani? Kama unazungumzia manjesta tuna makombe 20 ndani ya kabati
Imeisha, weekend hivi njoo uchukue uzi wako...Woyooooooooo..!!
Navaa medium
Asipochukua jee, acha atambe sasa, tukibeba na uefa tutamba zaidi..Si utuliee uduuu jamanii, [emoji23][emoji23][emoji23]
Subirii UEFA uchukue utambe zaidi.