Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dogo hujui kitu
20260519_002203.jpg

Aibu naona mimi.
 
Mkuu penalty tulizonyimwa.....yule forward wa washkaji alokuwa anaparamia waxhezaji wetu yte hujaona umekuja kuona hii soft tackle....ama kwli mchawi Hana sababu🤠🤠.....wikiendi ijayo nimeshaandaa uniform zako za kuvaa kwa ajili ya kugawa vinywaji kwa wageni mtani.....ufike eneo la tukio mapema bila kukosa
 
Back
Top Bottom