Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jana huwezi kuamini nimeota Arsenal kuchukua UEFA Wazee, for the first time, ngoja tuone.

Na tukichukua hili we're going to win it back to back, I believe next season tutakuwa na finance ya kutosha kuziba Magap with the very best players
 
Ni kweli mkuu ila upepo hauonekani kuwa uapnde wao.
Ingawa huwa nikilisema hili Castr ananipinga kwa nguvu tena na ushaidi kabisa, hata kama mtabeba ndoo zote 2 msimu huu arsenal ya msimu juzi ndio ilikuwa arsenal bora zaidi chini ya arteta.
Team bora ni ile inayobeba mataji mbele ya wapinzani wake na sio vinginevyo.
 
Pep kabakisha kombe moja tu kwa ligi ya ndani 😀😀😀 na lazima alibebe ni suala la muda tu
 
Tukiwin game ya jumatatu basi tutashinda ubingwa kabla ya tarehe 24 sababu sioni ni kwa namna gani Bournemouth anaweza kufungwa na city!
image.jpg


Viazi endeleeni kuota.
 
Kanjibai anamkataa burnley lakin kuna mjinga mmoja anakuambia naiona nafasi ya kipara pale juu
Screenshot_20260518_083106_FotMob.jpg
 
Kwa hizi mechi chache ambazo Skelly kakaa mid naamini Ili uuone ubora wa Odegaard ilibidi awepo Skelly.

Ila ngoja tuone Arteta na benchi walichoona kwamba kitakua ni deal poa kupanga mid kua hivi na kucheza 4 3 3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom