Viazi vilipigwa na United mbovu.Namna jinsi Sunderland anavyoenda sahani moja na city, hauwezi kujiliuza kwanini tuliangusha points 2 kwa hawa wajuba
So far Sunderland hajapoteza mchezo akiwa nyumbani
Basi nyumbu ana deni la kulipa kwa hawa wajubaViazi vilipigwa na United mbovu.
Humu nishaonyesha jinsi huyu jamaa anaburuzwa na Arsenal nzima kiasi magoli yetu yanaanzia kwake.
Huyo katika uwanja wa vita anaitwa double agentOya xhaka kaza kamanda
Hapo mnabana mbupu asipewe mana mtasaga meno. Ombeeni hivyo hivyo apewe yule tapeli wa strasbourg.Mgeeni timu yenu sasa.
Ushasema Cucurella mwenye Yellow, baasiii case closed.Humu nishaonyesha jinsi huyu jamaa anaburuzwa na Arsenal nzima kiasi magoli yetu yanaanzia kwake.
Saka kashatoa assist upande wa Cucurella.
Niliandika kabla ya mechi. Mechi ikafika hili pimbi likajipatia yellow mapema na goli likatokea upande wake
sisi tuna taka sare, kama kufungwa tuta kufunga sisi arsenalYaani mnaamin kabisa Sunderland atamfunga City?!!
Hii game niliiona mapema sana, Sunderland wamepaheshimisha sana uwanja wao wa nyumban.Namna jinsi Sunderland anavyoenda sahani moja na city, hauwezi kujiliuza kwanini tuliangusha points 2 kwa hawa wajuba
So far Sunderland hajapoteza mchezo akiwa nyumbani
Mzee itakua haujaelewa nilivyosema nimeonyesha magoli. Kwani kwenye yellow si goli moja tu ndiyo lilipatikana?Hapo mnabana mbupu asipewe mana mtasaga meno. Ombeeni hivyo hivyo apewe yule tapeli wa strasbourg.
Ushasema Cucurella mwenye Yellow, baasiii case closed.
Sunderland kapigwa na nyumbu akiwa ugenini, tumsubiri nyumbu na yeye aende pale kikaangoniSunderland ni vyura.
Wananyooshwa na United mbovu wanamkazia City.
Huoni watu wakisema City kashapotea, utaona wanasema mechi bado nyingi.
Hizo Game 3 za arsenal tutatembeza fimbo zote. Points 9 za uhakikanext three games for arsenal and man city
Arsenal
- Bournemouth
- Liverpool
- notiham forest,
Man City
-chelsea
-brighton
- man united
suluhu 2 kwa chelsea and united, uwii![]()
![]()