Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,257
- 101,712
Mchawi droo tu, Bournemouth wakaze hapo.City inaongeza striker
Mbaga Jr, lazima aliwe kiboga pale Emirates
Mchawi droo tu, Bournemouth wakaze hapo.City inaongeza striker
Hayo utajua wewe, jike la Jibwa koko wa kinondoniAisee! mungu yupo upande wenu mafala nyie, mchukue tu hili. UEFA hapana aisee, eeh mungu hii dunia itakua chungu
Utachoka!!Arsenal anachukua epl 😳
😂😂😂Dk ya 84 mashabiki wa City wanatoka uwanjani
Tanzania litafanyika mkoa gani sijuiParade lini
😂😂😂Aisee! mungu yupo upande wenu mafala nyie, mchukue tu hili. UEFA hapana aisee, eeh mungu hii dunia itakua chungu
Kipofu mwenyewe, kaa na hongerra yako ya kinondoniHatimaye kipofu kaona mwezi
Hongereni sana Arsenal
Sisi hatukufanya change ya kikosi, zubimendi katoka uefa kachoka mno, same to his fellow players.Kwa mpira anaogongewa city sasa naelewa kwanini tulivyokutana nao walitupiga
#arsenalNDOO