Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wana Paris hao sasa. ..

Ngoja kina Madueke, trossard, saka,jokeres ,martineli wakawafunge magoli......

Huku tukiwa na kiungo letu fundi "Skelly"

Mtashangazwa, game itaisha 1st half, Hakimi atakuwa keshapona
 
Arsenal can't beat Bayern
Arsenal can't beat Leverkusen
Arsenal can't beat Inter
Arsenal can't beat Sporting
Arsenal can't beat Athletico Madrid
Don’t forget that Athletico/Simeone has never lost a knock out game to an English club
Athletico Madrid will go through at the Emirates
Arsenal got the easiest routes to the final
Arsenal can't beat either Bayern or PSG in the final
Arsenal can't win the league
Arsenal will drop points
This is the worst season ever
Corner FC
Set-piece FC
Haram FC
Bottlers FC
Let's wait till December
January
February
March
April
City topped
Arsenal have bottled the league
Manchester City will never drop points again
This is the best season ever
Manchester City dropped points
If Arsenal wins the league, it'll be the worst season ever
Arsenal
Arsenal
Arsenal
Arsenal
Arsenal
Arsenal
Arsenal
Arsenal
Arsenal
Arsenal
Arsenal
Arsenal
 
Matyako yako
20260505_163350.jpg
 
Na tukichukua ubingwa ni kwa uzembe wa city, sio ubora wetu..
Paul scholes alitoa kauli akaonekana ana dharau ila huo ndio ukweli arsenal sio timu bora kiviiile, tuna matatizo, tunasubiri udhaifu wa mpinzani tuchukue kombe na sio ubora wetu..
Yote kwa yote historia humkumbuka mshindi tu, ikitokea tumenyenyua ndoo historia itasema ni arsenal hakuna cha ubovu wala nini.. man u kuna misimu alichukua kombe akiwa hovyo na kwa wizi end of a day haukumbukwi wizi wake.
Mkuu ili uchukue ubingwa si lazima wengine wawe dhaifu na wewe uwe na Bora?

City akichukua ubingwa, ana timu Bora. Arsenal akichukua ubingwa, City ana timu dhaifu.

Hii imekaaje kitaalamu?
 
Arsenal inashangilia sana.

Dakika 20 baada ya mechi kuisha PSG wakarudi tena uwanjani na kuanza kucheza upya.

Umemuona nani kashangaa?
 
Emirates ndo penyewe pale mnakufa mkiwa wengi as usual, hakuna cha kupanda ndege Wala Nini mnabaki mmelalia majani pale na vibibi vile vya arsenal machozi kama yote.

Chollo anaenda kumaliza kazi kama Bournemouth , soton au man UTD vile.
Emirates pale ni jumba la masikitiko na vilio tu , nasema uongo false hopers wenzangu?😄
Unajisikiaje na Hali huko ulipo
 
Tuliwaambia nyinyi kenge ubingwa hauchukuliwi kwa set pieces kama mbinu kuu, hio ilitakiwa iwe mbinu ya mwisho kabisa yakumalizia ligi mkakaza fuvu.

Saivi watu wamegoma kipa kuzongwazongwa kufunga imekua mtihani.
Kwa open play game anazopiga Fulham kesho nae itakuwa masikitiko mengine na matusi kwa tapeli arteta kama kawaida yenu.
Makaveli anakuambia zamani atleast ilikuwa hatupati makombe ila mpira tunapiga pasi kibao lakini saivi ni wanakosa vyote .
Vip huko maalimu kwema
 
Kwangu mimi naonaga mechi ya arsenal inakuwa rahisi aikiwa underdog
 
Mkuu ili uchukue ubingwa si lazima wengine wawe dhaifu na wewe uwe na Bora?

City akichukua ubingwa, ana timu Bora. Arsenal akichukua ubingwa, City ana timu dhaifu.

Hii imekaaje kitaalamu?
Siongei kishabiki, ukitizama vizuri utagundua tu sisi hatuko bora, huyu man city anaetufukuza angekuwa bora kidogo tu angetukamata, imefika hatua tunaombea apoteze ili tuwe na uhakika..
 
Misimu yote hua mashabiki wa hizi ligi tano wanatambiana juu ya ubora wa ligi wanazoshabikia.

Na kipimo hua timu kutoka ligi husika zimefika wapi kwenye mashindano ya Ulaya.

Msimu huu haujasikia haya makelele.

CL - Arsenal yupo fainali
Europa - Aston Villa au Nottingham moja itaenda fainali
Conference - Crystal Palace inaenda fainali

Kwanini hausikii hizi kelele? Kwa sababu wakitamba kwamba EPL ni ligi bora imepeleka timu tatu fainali mashindano ya Ulaya itapingana na ule uongo wa kudai ligi ya EPL ni dhaifu msimu huu 😅😅😅

At the same time, kwanini hausikii tena kwamba ligi ni mbovu? Kwasababu City alivyotushika kialama wakasema sasa ligi ndiyo imekua bora.

Now hawawezi claim ligi mbovu kwakua City alivyotushika kialama wakadai ligi bora. Hawawezi sema ligi bora kwakua sasa Arsenal ipo pale juu.

It's funny dealing with fools
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom