Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,227
- 76,751
Arsenal tulifungwa na City tukawa points sawa.
Declan Rice akasema "It's not done"
Arteta akasema "We have to fight til the end"
Pundits wakasema Arsenal tunajipa moyo hili swala la kombe la EPL limeishia pale kwakua City hashikiki akifika February.
Everton akasuluhu na City.
Haaland, Silva, page ya City ya X wakasema "We will fight to the end"
Pep akasema "After this game it's Arsenal's to lose"
Pundits wakasema hii sasa ndiyo mentality ya mabingwa.
Kubababake 😅😅😅
Utaumia kichwa ukiwa hujui kitu kuhusu nini kinaendelea. Kinachoendelea ni kwamba hakuna anayetaka Arsenal achukue ubingwa.
Pep amesema hivyo siyo kwavile amekata tamaa, anahamisha zigo la responsibility kwa Arsenal ili asiangaliwe yeye. Watu waanze kuiassess Arsenal.
A month back, Semenyo alikua kwenye podcast akijieleza jinsi alivyowaomba wenzake wa Bournemouth waizuie Arsenal. Zikatembea interview Doku akieleza ni kwanini waliazimia kuchukua Carabao ili kuiumiza akili Arsenal.
Leo hawa watu wamekuja na wimbo wa "Fight to the end" na pundits wanasema mentality ya mabingwa ipo hivi.