Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa atletico wata tuua
FB_IMG_17774950133349845.jpg
FB_IMG_17774951673427702.jpg
 
"Best team in the world." Bayern.

Alikufa 3 hapo Emirates.

Madrid alikufa nje ndani.

Atletico alikufa nne.

PSG alikufa 2.

Timu tatu zilizo final msimu huu zote zimechezea bakora kwa Arsenal.
Kuna shabiki wa arsenal alikua anaongea hivi hivi wakati tunaangalia game , watu wakasema tumuache kashalewa .
Yaani mashindano ya mwaka jana mnahesabia mpaka sasa. (PSG & Madrid ) PSG kakupiga nje ndani achana na Ile match ya kwanza ya mazoezi na Bayern pia achana na match ya mazoezi.
 
Emirates ndo penyewe pale mnakufa mkiwa wengi as usual, hakuna cha kupanda ndege Wala Nini mnabaki mmelalia majani pale na vibibi vile vya arsenal machozi kama yote.

Chollo anaenda kumaliza kazi kama Bournemouth , soton au man UTD vile.
Emirates pale ni jumba la masikitiko na vilio tu , nasema uongo false hopers wenzangu?😄
 
Hatukua na mpango wa kushinda hii mechi. Ilikua ni game ya kucontrol na kudominate ila siyo kutafuta ushindi.

Saka yupo hovyo. Odegaard yupo hovyo na ndiye kapteni

Ngoja tuone Jnne itakuaje
Odegaard sio mchezaji anaestahili kuanza mbele ya Eze.

Kwavile hatuna kocha acha liende tu.
 
Kumuacha Anko Tom, na kumchukua Zubi ulikuwa uamuzi wa hovyo sana kwenu.... pengine anko Tom mngempa mwaka mmoja tu ...angeofa something kwenye mid yenu.....controlling ya game na zile build up....

Zubi siwahi kumuelewa

Madueke kiazi

Jokeres dah... kichaa kabisa

Martinel ni level za Fulham huko

Trossad akiamka vizuri ndo utamuona mchezaji

Captain wetu sijui shida nn, anacheza kama veteran..... kesharidhika, maamuzi hovyo hapambani

Saka..akiwa fit walau anaofa kitu, changamoto ni kuwa hana fitness ya kutosha

Rice nae mkamiaji tu..

Anyway natamani muende final ,mkaliwe vizuri
 
Punguza mihemko afu uandike tena
 
Hatukua na mpango wa kushinda hii mechi. Ilikua ni game ya kucontrol na kudominate ila siyo kutafuta ushindi.

Saka yupo hovyo. Odegaard yupo hovyo na ndiye kapteni

Ngoja tuone Jnne itakuaje
Kabla hamjafika hiyo jumanne mtakuwa mmeshavurugwa mbaya sana na Fulham wikend ijayo.
Anyway, mie nawasapoti sababu ya afya ya akili ya mdogo wangu tu kwa sasa
 
"Best team in the world." Bayern.

Alikufa 3 hapo Emirates.

Madrid alikufa nje ndani.

Atletico alikufa nne.

PSG alikufa 2.

Timu tatu zilizo final msimu huu zote zimechezea bakora kwa Arsenal.
Hivi unaweza kuilinganisha arsenal hii ya sasa na arsenal ya game 18 za kwanza ukasema ni timu ile ile mkuu?
Atletico ni wachovu ila Arsenal nao wako hoi bin taaban.
 
Back
Top Bottom