Misimu yote hua mashabiki wa hizi ligi tano wanatambiana juu ya ubora wa ligi wanazoshabikia.
Na kipimo hua timu kutoka ligi husika zimefika wapi kwenye mashindano ya Ulaya.
Msimu huu haujasikia haya makelele.
CL - Arsenal yupo fainali
Europa - Aston Villa au Nottingham moja itaenda fainali
Conference - Crystal Palace inaenda fainali
Kwanini hausikii hizi kelele? Kwa sababu wakitamba kwamba EPL ni ligi bora imepeleka timu tatu fainali mashindano ya Ulaya itapingana na ule uongo wa kudai ligi ya EPL ni dhaifu msimu huu 😅😅😅
At the same time, kwanini hausikii tena kwamba ligi ni mbovu? Kwasababu City alivyotushika kialama wakasema sasa ligi ndiyo imekua bora.
Now hawawezi claim ligi mbovu kwakua City alivyotushika kialama wakadai ligi bora. Hawawezi sema ligi bora kwakua sasa Arsenal ipo pale juu.
It's funny dealing with fools