Anarusha mikono utadhani anaongoza kwaya.Simeone nae kama fala hv
Yalla shootWakuu mwenye link ya kuangalia hii mechi msaada.
HONGERA MKUU.Tuko fainali
Angalia zile punda zitakavyokua zinaupita huu uzi kama zinaaga maiti
Golden cup Ipi ww bangeArsenal tukichukua uefa tutapewa golden cup. Hatujafungwa katika michuano ya uefa 2025/2026
Kuzidi yule kocha wenu muimba kwayaSimeone nae kama fala hv
Apa unazungumzia fans wa nyumbu na cheltacoTuko fainali
Angalia zile punda zitakavyokua zinaupita huu uzi kama zinaaga maiti
Nilisema hapa na imetokea.... ngoja fainali mkashangazwe huko.... mfundishwe unachezwajeWazee kazeni Leo muende final ......
Natamani sana mfike final, Ili mkashangazwe na kufundishwa mpira unavyochezwA....
Mtachagua wenyewe forward ya kina olise, kane ama ya kina kvara , dembele ?
Hawa wahuni Atlet wakienda final wanaenda kuaibishwa vibaya sana kulingana mpira wanaocheza.... the same applies to kwenu !!!!
Football entertainment..... baadae mapema sana kwenye kideo
Mwendo wameumaliza wehu hawa. Wanajipa matumaini hewa. wanafikiri PSG ni Fulham pumbav kbs.Nilisema hapa na imetokea.... ngoja fainali mkashangazwe huko.... mfundishwe unachezwaje
Timu yako iko fainali ya kombe gani mkuu. The only team to reach UCL finals without losing ikafundishwe mpira, the best defensive team in the tournament ikafundishwe mpira?Mwendo wameumaliza wehu hawa. Wanajipa matumaini hewa. wanafikiri PSG ni Fulham pumbav kbs.
Sema Simione nae inabidi aachane na mambo ya ukocha.