Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,248
- 76,822
Kylian Mbappe mchezaji ambaye Madrid walifosi kusajili mpaka ukatokea ugomvi na PSG akaja kua top earner kwenye kikosi.
Mashabiki wakaamini wamepata jibu la kuburuzwa na Barcelona na dunia wakaandika vitisho vya kutosha. Leo hii mashabiki milioni 1.2 wamepiga kura kutaka Mbappe auzwe.
Hii ni kufuatia swala la nidhamu la Mbappe na jinsi anavyoharibu dressing room.
Sikuwahi kuelewa ni kivipi mchezaji ambaye timu inafanya counter anaamua kususa kwakua pasi hajagewa yeye amegewa Messi wewe unamnunua ukidhani huyo ni suluhu.