Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,227
- 76,751
Na wewe utahama permanent kama mwenzako au wewe unakodishwa baada ya kipigo unarudishwa ulipotoka?Friends of Madrid tupo hapa mapema sana 😎
Kuna watu wananisumbua kuhusu masuala ya Chelshit, muwaambie mimi niko mkopo Man city hadi mwishgo wa msimu, tutaonana preseason na wasipofanya usajili mzuri wa kocha na wachezaji mimi nitafanya mkopo wangu wa Man City kuwa Parmanent loan. SITANII! 🙁