fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,472
- 10,049
Dah! Jamaa amekua na mood nzuri sana leo sijawahi kushuhudiaMkuu naona leo una energy ya kutosha.
Sawa lakin bado hatujatupa taulo leo tutaingia kwa kuchungulia.
Dah! Jamaa amekua na mood nzuri sana leo sijawahi kushuhudiaMkuu naona leo una energy ya kutosha.
Sawa lakin bado hatujatupa taulo leo tutaingia kwa kuchungulia.
Tutakoma mwaka huu kwa mbwembwe zenu.Kinachomponza atletico ni jina la mwisho, mwenzake real tulimshughulikia nje ndan. Yeye kaponea chupuchupu kwao maana akija ugenini ni mazishi. Bukayo saka is back
Popote tunapokutana na timu inayoishia na jina madrid arsenal inakua lidudu lakutisha sana. Kamuulizen rodri, vini, mbape
Fainal tukutane na yoyote yule. Au bayern na psg waungane watoe first eleven tukutane puskas budapest
Beki uliyemnunua aje kuhakikisha unachukua ligi na CL anagawa pasi za magoli.
Hii ni kazi ya ibilisi. Demu unayemuamini anakupa gonorrhea
Game ya leo wakizubaa tunakuja kupachafua humu picha zao za majonzi tunazo.Dah! Jamaa amekua na mood nzuri sana leo sijawahi kushuhudia
Hao wanaocheza kama wamekatwa vichwa tunawahitaji sana fainali tuwafundishe namna ya kubalance kushambulia na kukaba.Wazee kazeni Leo muende final ......
Natamani sana mfike final, Ili mkashangazwe na kufundishwa mpira unavyochezwA....
Mtachagua wenyewe forward ya kina olise, kane ama ya kina kvara , dembele ?
Hawa wahuni Atlet wakienda final wanaenda kuaibishwa vibaya sana kulingana mpira wanaocheza.... the same applies to kwenu !!!!
Football entertainment..... baadae mapema sana kwenye kideo
Natamani Kikosi cha Leo kiwe;
Raya
White. Saliba Gabi. Calafior
Rice. Zubi
Saka. Eze. Martinel
Gykores
Full time Arsenal 2 Madrid 1
Naona bold decision from Coach...Skelly kaanza..
Ingawa tunajua kiasili Skelly ni CM ila kwa mara ya kwanza tumemuona mechi dhidi ya Fulham, Zubimendi tunajua ni CM kuanzia yupo Spain.Tuliwaambia Zubi bado sana, hana kiwango, pasi ovyo hazina macho.....
Juzi kalamba ubao, kuna watu wakaja kusema anapumzishwa kwa ajili ya mechi ya Leo... OK OK Leo tena kalamba ubao ...... coaching staff wameshaona mapungufu yake. !!!
Kwamba arteta yupo jf au coincidence tu! Anyway hiki inabidi kiwe kikosi cha kumaliza nacho msimu huuKikosi kilichompasua fulham ndio tumalize nacho ligi na uefa.
Kile ndio kikosi kilichocheza mpira wa kasi na kuleta impact ya magoli yanayoeleweka na sio magoli ya kihuni (magoli ya kona)
Playing style ya odegard inatuchelewa hili utaliona akicheza Eza unaona jinsi gani odegard ametuzoea vibaya sisi kama arsenal fans
Zubimendi anahitajika kua-adapt mpira wa kasi na ku-take risk panapo hitajika. Ila kama tutakua na dream kubwa zaidi utagundua zubimendi bado hatoshi
partnership katika ya saka na white huwa ni iko poa sana kuliko timber na sakaNaona wanangu Ben Cheupe na Mchele leo wapo ndani ya nyumba [emoji41]