makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,428
- 108,438
Uzuri mie nawe tupo humu miaka dahari wa dahari.. partey mie nilimuelewa siku ya kwanza tu, kuna vita hapa ilikuwepo na will jr, akimkataa partey mimi nikisema partey ni fundi,Zubimendi huu msimu wake wa kwanza. Mkumbuke Partey msimu wa kwanza alikuaje.
Gyokeres na ugumu wa mfumo ana jumla ya magoli 21. ST wengine wana hali gani?
Odegaard amekua hovyo. Saka kawa hovyo. Utetezi utakua kwamba wametoka majeruhi
shida sio zubi kuwa msimu wa kwanza shida ni aina yake la soka, asipobadilika atakuwa hana jipya. Mazoezi ajifunze baadhi ya vitu, ili aongeze ubora, haiwezekani mido inapiga back pass nyingi, side passes za kutosha, afanye mazoezi ya utulivu akiwa na mali na kupiga pasi za mbele, kiungo hutakiwi kuogopa mpira utafikiri mi moto,
saka na martinelli nilwagomea wakiwa kwenye peak yao, msimu ule wanafanya vizuri, nikasema ni wachezaji wa kawaida muda utatuambia, saka ana kaubora kidogo kuzidi martinelli ila ndio wale wale.
Odegard tayari ufaza ushamuingia, anajiona legend tayari, wakati alitakiwa kuongeza juhudi, siku hizi karelax mnooo.