Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa wazenge wanatakiwa waanza kushoot nje ya box ila hawaelewi *****.
 
Mpaka sasa hivi inaonekana game ni yetu. Ni mids na forwards ndiyo hawataki kushoot wamalize tukio.
 
Tuliwaambia Zubi bado sana, hana kiwango, pasi ovyo hazina macho.....

Juzi kalamba ubao, kuna watu wakaja kusema anapumzishwa kwa ajili ya mechi ya Leo... OK OK Leo tena kalamba ubao ...... coaching staff wameshaona mapungufu yake. !!!

Word. Zubi kalegea sana.
 
DakiKa ya 56 Atletico wanatoa watu watatu Arsenal anatoa watu watatu pia. Odegaard na yeye anaingia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom