Haters kama wamelala vileEverton wanascore chuma cha 2 kubababake
Haters kama wamelala vileEverton wanascore chuma cha 2 kubababake
HahahaHaters kama wamelala vile
Hakika bora. Au sio? Kiko wapi City?Bora city awe mbele yako kuliko nyuma yako kama hivi😀😀😀😀
View attachment 3575543
Mdogo mdogo tutafika.Beki ambaye hajapata yellow mpaka sasa hivi dakika ya 85 ni Mykolenko tu
Finger crossedTubane mbupu sasa
Hua mnaandika tu kila kinachokuja kichwani. Bao tatu za jana zimekupa hangoverBora city awe mbele yako kuliko nyuma yako kama hivi😀😀😀😀
View attachment 3575543
Siyo kama Nottingham walivyowakojolea.Arsenyembo fans wote leo mnakojoa Kwa furaha