Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuliwaambia nyinyi kenge ubingwa hauchukuliwi kwa set pieces kama mbinu kuu, hio ilitakiwa iwe mbinu ya mwisho kabisa yakumalizia ligi mkakaza fuvu.

Saivi watu wamegoma kipa kuzongwazongwa kufunga imekua mtihani.
Kwa open play game anazopiga Fulham kesho nae itakuwa masikitiko mengine na matusi kwa tapeli arteta kama kawaida yenu.
Makaveli anakuambia zamani atleast ilikuwa hatupati makombe ila mpira tunapiga pasi kibao lakini saivi ni wanakosa vyote .
Kenge Bana😂
 
Sometimes ni changamoto sana kwa Mchezaji kuchagua future yake ..... kuanzia maslahi, game time n.k !!!!

Wapo ambao tunaona walijilipua na wakafanikiwa, wengine ndio hivo tena walienda kuzika future zao ....

Pia hizi club kubwa kubadili makocha kila muda kunachangia kuharibu future na development ya Mchezaji kwa ujumla !!!

Kingine kuna wachezaji wana ego, ama agents zao wanawapa viburi... Mchezaji anawaka kidogo ama anaonesha potential anaanza kuvimba ! Refer case ya Garnacho, alianza kuwaka kidogo....maneno kibao big ego, mara anataka UCL footbal, club ikamuuza ! Kesi za hivo ni nyingi sana !
Castr
 
Yeah upo sahihi ingawa binafsi naamini Heaven alikua sahihi kutoka Arsenal. Kuna dogo anaitwa Salmon naye ni beki huyu pia sitoshangaa akiondoka, yupo vizuri, utulivu na vision vyote anavyo.

Ila sidhani kama atabaki Arsenal kwakua Magalhaes na Saliba bado wapo sana. Hata Nwaneri ilibidi aondoke Arsenal kutokana na game time, lakini ni mchezaji mzuri sana kwa umri wake. Dowman pia anaweza kuona anachelewa pale.

So it's fine mchezaji akiamini atatobolea kwingine.
 
Kesho El Cholo na vijana wake wa atletico itabidi watusamehe....tuna jambo letu na PSG[emoji1783][emoji1783]
[emoji23][emoji23] Hivi wanetu mko serious kweli au ndio ile nguvu ya energy drink anayoizungumzia Castro Oil?
Tutaweka wapi sura zetu sisi,
Eeehhh Mungu muweza wa yote ikiwezekana kikombe hiki kituepuke, walakini si kama tutakavyo sisi, bali kama utakavyo wewe.
1775914528215.jpg
 
Ndiaye anapata chance ya pili na hii anashoot kama ya mwanzo.

Kama anaogopa mpira. Na anatazamana na kipa
 
Everton wanascore.

Guehi kafanya kosa la kurudisha mpira nyuma.

Ndiaye angescore zile mbili basi mambo yangekua mengine
 
Hili ndiyo goli la kona wazenge watalichukia kuliko magoli ya kona ya Arsenal
 
Donnaruma analalamika kashikwa. Lakini alishikwa na Haaland na Gonzalez. Akagewa yellow
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom