Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chelsea hawezi tena kwenda UEFA kupitia ligi, akipambana sana ataishia Europa (assuming akipambana) asipopambana maana yake atahitaji kushinda FA ili aende Europa.

Zee la essay limekosa cha kuandika na mbege junior amekua mtoto chokoraa anazunguka kila eneo hana ndugu, hana baba wala hana mama
 
Next game dhidi ya City mwendo ni ule ule. Nabet nampa ushindi. This time anacheza na Brentford.

Kama Brentford akichanga karata fresh anaenda UEFA. Na kuzichanga anaanza dhidi ya City.
Mara Paap mkeka wako unachanika
Kwasababu city anaweza asishinde mechi yeyote iliyobaki ya ligi
 
City akizingua kwa Brentford ama kwa sare au kufungwa Arsenal wanatakiwa kushinda games mbili zijazo, dhidi ya Westham na Burnley ili kua bingwa.

But for now let's focus on Atletico
 
Semenyo ni Rashford asiyekubali kushindwa
Mimi niliandika hivi wayback lakini naona watu wanacatch up sasa hivi.

Mashabiki naona wanamtumia jumbe mbalimbali Semenyo wakimkumbusha jinsi Pep alivyodrop wachezaji bila kujiuliza. Wamemtajia Foden, Grealish, Savinho, Phillips, Reijnders, Ake, Marmoush. Mashabiki wanamsisitiza Semenyo astep up zaidi.

Wanasema amekua hovyo. Mmoja akasema sababu pekee Semenyo bado anapata namba ni kwakua Pep hua habadilishi kikosi ikifika February.

Lakini iko wazi kwamba Semenyo siyo kama walivyomfikiria ila ni vile watu tunatofautiana kuangalia mchezaji na kumtafsiri unavyouelewa mpira
 
United itakushangaza kama bado ateta atakua kocha wenu msimu ujao
Ambacho hutaki kuona ni kwamba mlipo sasa hivi mpo mkiwa mnafanya damage control so kila mnachofanya muda huu ni short term solution. Bahati nzuri imewaleta CL.

So msimu ujao mnatakiwa kuweka long term set ups. Mtatakiwa kuweka hizi set ups huku mpo Carabao, FA, CL na League. Kama mtasajili wachezaji wapya na wenyewe wawe fed kwenye set ups.

Mashabiki wengine hua wanasema "Tunajenga timu msituhesabu" shabiki wa United anasema atatushangaza msimu ujao.

Pogba alisema hamjui mpira. Here we are.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom