makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,428
- 108,438
Ajiongeze, kila kitu kinaanzia ground ya mazoeziniinawezekana zubimendi sio premier league material natamani msimu ujao aje kivingine atuprove wrong.
Ajiongeze, kila kitu kinaanzia ground ya mazoeziniinawezekana zubimendi sio premier league material natamani msimu ujao aje kivingine atuprove wrong.
YEs, alikuwa anamkataa partey..Kwa kumbukumbu zangu ni Will Jr ndiye alikua anasema Partey ni mbovu. Mimi badi nina imani na Zubimendi mchezaji ambaye ametakwa na timu zaidi ya nne sidhani kama ni kiazi kiasi hicho.
HUyu jamaa ni Busquet mwingine. Kichekesho ni kwamba zile through balls na penetration passes siyo kwamba hawezi ila ghafla tu amekua hazipigi, hizi ambazo Partey alikua hahofii kuzipiga.
Loose balls za nje ya 18 Partey alikua anazipiga nonstop ila Zubimendi hazipigi. Ni kweli anahitaji kujirekebisha, yeye na Odegaard.
Kwa Saka na Martinelli ninaona wote hao siyo wabaya kiasi cha kusema mchango wao kwenye game unaweza upuuzia na kuamua kuwauza au kuwaweka benchi.
Kenge maji wee, kiko wapi we kiropo ropoKabla hamjafika hiyo jumanne mtakuwa mmeshavurugwa mbaya sana na Fulham wikend ijayo.
Anyway, mie nawasapoti sababu ya afya ya akili ya mdogo wangu tu kwa sasa
Endelea kuomba kimburu weeFulham ni timu yangu ya utotoni kabisa,
Mungu tunaomba sare tu leo wala hatuombi makubwa.
Manena mwenyewe, kikaragosi wee, this is arsenal 🔥Asenoo kumermamao! Leo mnatema bungo rasmi mbele ya Fulham. Maaanina zenu!
Asenoo mtaendelea kukata viuno lakini Man City ndiye atabeba kombe hili, mbwa nyie!Manena mwenyewe, kikaragosi wee, this is arsenal 🔥
Mbwa koko mwenyewe, bado game 3, kesho final ya ucl ilee.Asenoo mtaendelea kukata viuno lakini Man City ndiye atabeba kombe hili, mbwa nyie!
UCL unaenda kumfunga nani wewe mtoto wa kambo? Endelea kukata viuno kwa Man City kubeba kombe.Mbwa koko mwenyewe, bado game 3, kesho final ya ucl ilee.
namuua atletico Madrid kesho, kuhusu city tutarudi baadae.UCL unaenda kumfunga nani wewe mtoto wa kambo? Endelea kukata viuno kwa Man City kubeba kombe.
labda kombe la vibwengoUnited itachukua ubingwa kabla ya aseno
Sawa. Endelea kusubiri meli airport.namuua atletico Madrid kesho, kuhusu city tutarudi baadae.
Ukitaka kujua Arteta ni mpumbavu anaamini kuanza na Ode anamuacha Eze.Wanigeria wamecharuka wanamdiss Odegaard kuna jamaa kambatiza jina anamuita 'King of Looking Busy'
Kwenye game dhidi ya Kairat Odegaard anapokea mpira akiwa nyuma robo tatu ya 18. Eze yupo mbele yake karibu na dimba.
View attachment 3583553
Hoja ni kwamba kwa mchezaji anayejali kwamba tunatakiwa kushambulia haraka ilibidi ampe pasi Eze hapa huku yeye akiwa anasogea mbele. Ila Odegaard hakutoa pasi akaanza kudribble kuja hapa dimbani.
Alivyofika dimbani kulia kwake kukawa na wachezaji wawili ambao angeweza kuwapa mpira.
View attachment 3583554
Badala ya kutoa pasi kule kulia Odegaard akampa mpira Eze aliyekua kushoto kwake kwenye hii picha.
Yaani amempa mpira mchezaji ambaye angeweza kumpa sekunde 6 nyuma ila akadribble mpaka dimbani halafu akaacha kuendeleza shambulizi kwa kumpa mpira mchezaji yupo pembeni yake.
Goli la pili dhidi ya Fulham ni Ben kampa mpira Saka, Saka akaachia fasta kumpa Ben, Ben hakukaa nao akamuachia Eze.
By this time wachezaji wa Fulham wakawa wanakuja kwa presha juu wakiamini pale wanaondoka na mpira.
MPira unafika tu kwa Eze. Arteta akasogea pembeni ya Eze.
View attachment 3583555
Hapo Arteta anamuonyesha Eze ishara ya "Tulia" maoni yanasema uzuri Eze hakumsikiliza kwakua kumsikiliza ilimaanisha kuondoa presha ambapo angekua Odegaard angetoa back pass kwa mchezaji aliye nyuma yake.
Ila Eze akatoa through ball kwa Gyokeres, ambapo watu wawili wakasogea kuufuata mpira. Wakaacha gap ambalo Saka akalitumia kupokea mpira na kuscore.
Kwa maoni ya wadau ni kwamba Odegaard angekuepo uwanjani tungeishia moja bila, kwakua hiyo pasi ya Eze asingepiga.
We mbwa koko endelea kuibwekea ndegeSawa. Endelea kusubiri meli airport.
Arsenal tumewauzia United Chido pia. Massive potential yule dogo ila akawa anataka aanzishwe first eleven na mpunga upande. Arsenal tukagoma, United wakakubali akaenda pale.Huyu Heaven anayechezea Utd nasikia mlimuuza kwa £1m ,? Bonge moja la mistake, nimemuangalia mechi hizi mbili, anacheza vizuri, ana vision pia haogopi .... . Still ana mature , huyo mtu wenu aliyefinalize hili dili anatakiwa anyongwe mbele ya halaiki !
Same mistake kwa Chelsea kumuuza dogo Rhio Ngumoha kwenda Liverpool...ana potential sana..atakuja kuwa mchezaji mzuri
Utd waliwahi fanya makosa ya kumuachia PoGba wakaja kumrudisha kwa pesa ndefu sana ....
Hii ndio football.....inatokeaga
KdB Chelsea walimtema
Salah Chelsea walimtema
Kuna dogo yupo pale Everton utd walimuachia, nadhan watajuta, ameanzA kuonyesha potential..... Tuchel anamuita WC ! James Garner