Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Skelly bado hajajua muda gani wa kuachia mpira.

Bado ana safari ndefu
Yaani mi naamini zubimendi ni mchezaji bora sana ila inabidi ajifunze ujasiri kwa Huyu dogo lewis skelly, asiigope Mali, aitake mali muda wote mguuni, zubi ametuangusha sana kwa kutunyima game control this season, hivi unawezaje kuwa controller kama unauogopa mpira? Muda wote yeye anataka kuachia tu, kifupi anakwepa responsibility ndio kitu kinamfanya anakuwa hovyo, partey alikuwa anakaa na Mali kupitiliza ila huyu anaiogopa Mali kupitiliza, you need balance kama Holding midfielder, Busquets alikuwa complete namba sita, anajua afanye nini wakati gani, Zubimendi anaweza kuwa busquet kama atatamani kuwa, uwezo Anao lakini mambo anayofanya paka kuna muda namkumbuka Partey.
 
Mtoto wa Hale end, Myles lewis skelly, amekuzwa kwenye basics za total voetbal by papa Arsene Wenger, yani dogo ameanza leo na tumeona mpira wa Arsene Wenger tulioumiss muda mrefu, liquid and attacking football, the things we love the most, hivi ndio vitu vilivyofanya tukaipenda Arsenal, Arsenal is about sexy football.
 
sawa, ila mi binafsi napenda ujasiri alokuwa nao wa kutembea na mpira na kuamua kuvunja safu ya mpinzani mwenyew na kisha anaweka mpira kwenye nafasi, amekuwa akitake hiyo risk mara nyingi na inalipa.
Mzee wa kazi chafu we mpira Unaujua, risk averse ndio kitu kinamuua zubimendi na Arsenal kiujumla, City ameweza kutu catch up sio sababu tuna Timu mbovu, sababu kubwa ni kutoka nje ya utamaduni wetu wa kucheza mpira mwingi, kuogopa Ku take risk kitu ambacho kinafanya tunakuwa predictable na ndio maana wengi wanasema we play boring football and we rely on set pieces.
 
Yeah hili tatizo analo Sana, ila uwepo wake Leo umefanya mipira iende mbele haraka zaidi kuliko Zubi akiwepo.

Leo ni moja ya game tumecheza vizuri katika siku za karibuni. Hope atapewa games zaidi.
Nakubaliana na wewe
 
Yaani mi naamini zubimendi ni mchezaji bora sana ila inabidi ajifunze ujasiri kwa Huyu dogo lewis skelly, asiigope Mali, aitake mali muda wote mguuni, zubi ametuangusha sana kwa kutunyima game control this season, hivi unawezaje kuwa controller kama unauogopa mpira? Muda wote yeye anataka kuachia tu, kifupi anakwepa responsibility ndio kitu kinamfanya anakuwa hovyo, partey alikuwa anakaa na Mali kupitiliza ila huyu anaiogopa Mali kupitiliza, you need balance kama Holding midfielder, Busquets alikuwa complete namba sita, anajua afanye nini wakati gani, Zubimendi anaweza kuwa busquet kama atatamani kuwa, uwezo Anao lakini mambo anayofanya paka kuna muda namkumbuka Partey.
Ni msimu wake wa kwanza. Hata Partey msimu wa kwanza alijipa rating ya 5/10, hata alipokua on fire bado hata humu alipingwa hajui mpira.

Kuanzia next season sasa ndiyo tuone nini atabadilika.

Zubimendi amehold mpira akasababisha magoli mara mbili, internet ikacharula. Naamini hiyo imemvunja confidence, Skelly anakaa na mpira ukitaka kuuchukua unakua umemchezea faulo.

Hii ni advantage kwa Skelly ya kujua kujiposition pia anaonekana ana nguvu physically tofauti na Zubimendi. Zubimendi anataka awe technical zaidi kuliko physical kama Busquet alivyokua.
 
kwa kikosi cha arsenal cha msimu jana ongezea na huu unaoishia.. ni arteta tu anaendelea kubaki nyuma ya muda ,hii timu walimu wengi tu average wanaweza kuchukua nayo ubingwa wa EPL kwa hawa hawa wachezaji iliokuwa nayo.
 
Kumuacha Anko Tom, na kumchukua Zubi ulikuwa uamuzi wa hovyo sana kwenu.... pengine anko Tom mngempa mwaka mmoja tu ...angeofa something kwenye mid yenu.....controlling ya game na zile build up....

Zubi siwahi kumuelewa

Madueke kiazi

Jokeres dah... kichaa kabisa

Martinel ni level za Fulham huko

Trossad akiamka vizuri ndo utamuona mchezaji

Captain wetu sijui shida nn, anacheza kama veteran..... kesharidhika, maamuzi hovyo hapambani

Saka..akiwa fit walau anaofa kitu, changamoto ni kuwa hana fitness ya kutosha

Rice nae mkamiaji tu..

Anyway natamani muende final ,mkaliwe vizuri
Yule partey ni mtu na nusu. Huyu zubi hafiki anga zile
Rice ni mzuri ana ile damu ya upambanaji, ni bora kuwa na rice kuliko odergad ama zubi..

toka kutoka mwa partey rice hana mchango mkubwa sana kwenye mashambulizi kama msimu uliopita, kuna mwanangu alikuwa per game anampa rice shots,3,4 na hiyo siku ni akimuona partey kacheza na alikuwa anampiga muhindi mara nyingi mnoo
 
hili suala la Skelly kucheza kwenye ile position alocheza leo ilikuwa ni wimbo wa mashabiki wengi wa Arsenal tangu siku nyingi lakini Arteta kuliona hilo imemchukua miezi wakati ni suala ambalo lilikuwa linaonekana wazi.
Bado ajifunze baadhi ya vitu,Zile faulo zake za hovyo ajidhibiti lakini kunwa zaidi ukiwa middle bila scanning ni shida sana, kila wakati ni mwemdo wa 360° ni wachezaji wachache sana ndio wanafanya hii kitu na lazima awe bora eneo hilo..
Ila sio mbaya bora yeye kuliko kiazi zubi, ye ni kukaba tu, ila kucheza mpira unavyokuja ndio unavyorudi kama TRENI.
Apewe video za partey yule zubi ajifunze, aangalie hata legends waliocheza postion yake aboreshe kiwango
 
Eti kale katoto ka downman nako kameshajiona kastaa hakataki luachia mali, ile pasi ya wazi kabisa kwa jesus akagoma kuachia, kuna mpira mwingine kule winger ya kulia kifootball alipaswa aachie moja, tushambulie, ye akauganda ikawa wa kurusha.

Bila kubadilika hana maisha marefu atakiwa kama baadhi ya vijana wa kiingereza wengine walioimbwa sana na wakapotea kirahisi
 
Yaani mi naamini zubimendi ni mchezaji bora sana ila inabidi ajifunze ujasiri kwa Huyu dogo lewis skelly, asiigope Mali, aitake mali muda wote mguuni, zubi ametuangusha sana kwa kutunyima game control this season, hivi unawezaje kuwa controller kama unauogopa mpira? Muda wote yeye anataka kuachia tu, kifupi anakwepa responsibility ndio kitu kinamfanya anakuwa hovyo, partey alikuwa anakaa na Mali kupitiliza ila huyu anaiogopa Mali kupitiliza, you need balance kama Holding midfielder, Busquets alikuwa complete namba sita, anajua afanye nini wakati gani, Zubimendi anaweza kuwa busquet kama atatamani kuwa, uwezo Anao lakini mambo anayofanya paka kuna muda namkumbuka Partey.
Mchezaji anauogopa mpira kama una moto vile.. we ni kiungo nenda kauombe mpira, scan, kaa na mali achia mali, isake tena.. poga pass inapobidi, dribble inapobidi.. sogeza timu juu, kuwa press resistant, kiungo lazima uwe muongo muongo kiungo gani unakuwa mgumu kama unakula mawe
 
Back
Top Bottom