Kipa wa kipindi chote wa Newcastle ni Nick Pope, mara ya mwisho Pope amecheza ni mwezi wa 2 dhidi ya Everton.
Baada ya ile mechi kipa aliyeanza kutumika ni Ramsdale. Games dhidi ya United, Chelsea, Man City, Barcelona zote za baada ya Everton kipa ni Ramsdale.
Jana dhidi ya Arsenal kipa kawekwa Pope. Kama umeangalia game tulivyoenda kwao unaweza ona kwanini imekua hivyo. Bruno G ni CM mzuri lakini ni majeruhi, Newcastle wamerisk injury ya miongoni mwa mchezaji wao best kwaajili ya hii mechi.
Mara zote hua nasema hatuwezi kuteleza kisha tukaanza kuhesabia wengine kufeli ili iwe kufaulu kwetu. Timu zinaenda extra mile halafu sisi ukifika muda wa kwenda extra mile we are nowhere to be seen.
Rice anapokea mpira ndani ya boks ana sekunde mbili za kushoot anaopt kudribble tena. Muda huo Tonali amegeuka long shots merchant. Gyokeres ana option ya kumpa Saka but left foot so weak akagawa mpira.
Spirit unayoonyeshwa ionyeshe same kwenye pitch simple as that.