BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,273
- 12,507
Furaha yenu ni mwiba.Hatari mzee. Sasa hivi imefikia kuombeana mabaya
Hamjashinda kitu mnatuvimbia hivi mkishida je?
Furaha yenu ni mwiba.Hatari mzee. Sasa hivi imefikia kuombeana mabaya
Tulia mzee. Vumbi likitulia tutapata jibuFuraha yenu ni mwiba.
Hamjashinda kitu mnatuvimbia hivi mkishida je?
Punguza hasira chief mashindano ni ya timu zoteAsenoo ni timu ya kiqumer sana. Inakuwaje mnaongoza ligi kwa pointi 9 halafu mnadondosha zote mnapitwa na Man City? Qumamao zenu!
Bado wananafasi ya kufanya vizuri chief hususani wakizidisha dua ya kumuombea njaa mpinzaniMashibiki wa hii timu wote hakuna la maana........
Wote mshikwe mabega tu !!!!
Hakuna kombe lolote, basi msitoke kapa, mshikwe mabega .....
I can see Arsenal is living rent free in your numb skull.Mashibiki wa hii timu wote hakuna la maana........
Wote mshikwe mabega tu !!!!
Hakuna kombe lolote, basi msitoke kapa, mshikwe mabega .....
Sasa mnashindania nini masta ? Miaka yote hii matumaini hewa ? Bora mshikwe begaPunguza hasira chief mashindano ni ya timu zote
Hakuna bla bla.... mshikwe mabega, ndo kombe lenu !!! Sililizieni show ya Pep kwenye hizi game chacheI can see Arsenal is living rent free in your numb skull.
You're always typing Arsenal this... Arsenal that... please have some rest Bana hata Mungu mwenyewe alipumzika
Ngoja tuone itakavyoishaHakuna bla bla.... mshikwe mabega, ndo kombe lenu !!! Sililizieni show ya Pep kwenye hizi game chache
Timu ziko 20 hata Wolves wanalita kombne hilo chief usiwahukumu Asena8 wamefanya jitihada zao na bado wana nafasi ya kuchukua kikombeSasa mnashindania nini masta ? Miaka yote hii matumaini hewa ? Bora mshikwe bega
Hili tusi ni kocha na wachezaji tu au mpaka kwa mafans😂😂Asenoo ni timu ya kiqumer sana. Inakuwaje mnaongoza ligi kwa pointi 9 halafu mnadondosha zote mnapitwa na Man City? Qumamao zenu!
Ikitokea???? Nyie kweli ni kenge mpaka sasa Bado hamjaamini tu mmetoka patupu .Wanangu wa Arsenal huu msimu ikitokea tumetoka patupu tena dawa za kupozea maumivu hizi hapa😔View attachment 3577960
Hadi fans wamo mkuu.Hili tusi ni kocha na wachezaji tu au mpaka kwa mafans😂😂
Kama ni mashindano ya wote, wakati Asenoo anadrop points kwani alikuwa hachezi mkuu?Punguza hasira chief mashindano ni ya timu zote