Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 37,920
- 75,775
Kuna timu chache sana mashabiki wake wanaweza kuja kuandika hivi.Mkuu naona mmeanza kupumua sasa
Wewe siyo mmoja wao
Kuna timu chache sana mashabiki wake wanaweza kuja kuandika hivi.Mkuu naona mmeanza kupumua sasa
Pep shikilia hapo hapo 😂Badala ya Asenoo kuwekeza kiwanjani, wanakuja kumkoromea Guardiola. Hawa jamaa qumer kweli!
View attachment 3579464
Mpaka waombe poo! Wanadhani kombe linabebwa kwa maelewano badala ya kuweka juhudi kiwanjani. Wapuuzi sana hawa jamaa🤣😂🤣😂Pep shikilia hapo hapo 😂
Mkuu wakati mnamsajili Rice, hamkumuona dogo Mainoo?Chances alizopata Thiago na kuzikosa kwenye hii game yao na United kama angepata Gyokeres na kuzikosa hizi zingekua references mpaka msimu ujao.
Leo huyu jamaa ni wa hovyo balaa
Ni nani huyo Maino? Kwani aliyeimba All The Above na T Pain anacheza mpira?Mkuu wakati mnamsajili Rice, hamkumuona dogo Mainoo?
Hizo match ulizowafunga wenzako Huwa wapo kimazoezi zaidii, wewe tu ndio Huwa unakomaa. Si unajua false hopersUkicheki hii mechi ndiyo unaona ni kivipi tulizifunga hizi timu mzunguko
Unabishana na timu ipo Semi Finals kaka. Kesho itakubidi utuangalie bila kupenda.Hizo match ulizowafunga wenzako Huwa wapo kimazoezi zaidii, wewe tu ndio Huwa unakomaa. Si unajua false hopers
😂😂😂😂😂😂Ni nani huyo Maino? Kwani aliyeimba All The Above na T Pain anacheza mpira?