Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Makubwa
espnuk_14050205_175105098.jpg
 
Madueke, kai na Eze ndio forward line yetu sio ?

Na mnataka eipielo ......

Kazeni mk****ndu. ..mshinde, mkidraw, au mkifungwa ubingwa kwishnei
 
Jumatano Arsenal tutakua Wanda Metropolitano kwaajili ya showdown ya kwanza ya nusu fainali kupambania kwenda fainali.

Jumanne Bayern na PSG. Jumatano Atletico na Arsenal.

Hapa kama kuna shabiki wa timu ambayo ipo nusu fainali CL kuna feeling anakua nayo ambayo wengine hawawezi elewa.
 
Mkuu unawapa kichwa hawa kima now wanakamilisha ratiba tu.
Mkuu hawa kima maji tupo nao bega kwa bega..... wakitoa kichwa nje wanakula nyundo..... uefa na eipielo wataisikilizia kwenye bomba !!!!

Naangalia mechi ya city hapa, city na Palace FA... Pep kabadili kikosi kizima, he means business... anaitaka eipielo kubbk
 
Fowadi letu Victor Goyk siku hizi linakula benchi ...... wakati mnamsajili mliimba kila aina ya mapambio kumsifia !!!

Jitu halina football IQ, kazi kutumia minguvu tu .... alishafeli championship huko na EpL, akakimbilia farmers league mkaja kujiokoteza kwa pesa ndefu....

Kwa umri wake hakuna development tena, kwisha kazi !!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom