Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Worst performance.

Haiingii akilini kwamba Arsenal ili ashinde mechi ya FA dhidi ya Soton aliyeshuka daraja inabidi awe na kikosi kinachotarajiwa kushindana UCL.

Wachezaji kama vile wamekutana leo wazenge kabisa. Mi sijanunua TV ili nije kuangalia usenge kama huu
😂😂😂
 
Tusijifariji, tungejilegeza tukatolewa na chelsea nusu fainali.

Ni kweli kama tungewekewa hapa epl hapa carabao sote tungechagua epl, ila hakuna mwanadamu asietaka zaidi, epl tunaitaka lakini carabao pia tuliitaka ni vile arteta kaleta upimbi
Kule EPL bado una mechi na Kipara. Na nyingine moja ukifungwa na Nottingham Forest biashara imeisha.
 
Bahati mbaya, mie siwezi zungumzia mpira na wewe mzee,
Soma tena ulichoandika.. kabla ya game hii kuna game ngapi city hajapata ushindi kwa arsenal?

Mie nazungumzia kuwekwa benchi wachezaji wazuri na ww unazungumzia nini sasa 😂
Sema tena na leo wewe mzee makaveli10
 
Worst performance.

Haiingii akilini kwamba Arsenal ili ashinde mechi ya FA dhidi ya Soton aliyeshuka daraja inabidi awe na kikosi kinachotarajiwa kushindana UCL.

Wachezaji kama vile wamekutana leo wazenge kabisa. Mi sijanunua TV ili nije kuangalia usenge kama huu
Pole. Ujinga wote ni wa kocha wako. Hajawahi kushinda chochote cha maana toka alivyokuwa mchezaji. Tafuteni kocha anayejua kucheza mechi za fainali. Mechi ya fainali unaweka kikosi cha pili!
 

Attachments

  • 0_Arsenal-fans-think-Mikel-Arteta-must-really-hate-Aubemeyang-after-going-ballistic-at-tough-t...jpg
    0_Arsenal-fans-think-Mikel-Arteta-must-really-hate-Aubemeyang-after-going-ballistic-at-tough-t...jpg
    195.9 KB · Views: 13
Mashabiki wa arsenal kwenye vichwa vyao wanaonaga kwamba makombe aliyochukua man city yameletwa na arteta then ndio akahamia kwao .

Wamesahau kuwa arteta alikua muokota Koni tu pale man cîty lakini wanavyomchukulia kama bonge moja la kocha hivi 😂😂.
Anyway tusubiri hio May.
 
Back
Top Bottom