Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Waliemtuma nae kafa, aje mwingine
IMG-20251127-WA0002.jpg
 
WAKATI NAANDIKA HAPA KWAMBA BAYERN HANA TIMU YA KUTUFUNGA ARSENAL KUNA WATU WALIDHIHAKI SANA WENGINE WAKANAMBIA NIACHE KUSHABIKIA MPIRA WA MBELE NIBAKI KUSHABIKIA MPIRA WA BONGO, HAYA NYIE WAJUAJI WA MPIRA WA ULAYA MNA LIPI LA KUNAMBIA SASA JUU YA KAULI YANGU DHIDI YA HIYO TIMU YENU YA LEOO BAYERN ??
 
Kila tulipofanya kitu ambacho ni nje ya ile rigidness tulikua threat. Rice kudribble ni nje ya rigidness inayotaka asimame atoe pasi.

Cross ya Calafiori, long ball ya Eze. Tumekua encouraged kucheza vile kutokana na Bayern kuamua kutupress na high line.

Hii mechi aliyehisi hatushindi yupo sahihi, tutashinda ila kwa ugumu yupo sahihi na tutashinda tukiamua yupo sahihi pia.

Bado Chelsea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom