ChelkengeWatu wote wenye akili timamu na mapenzi mema na mpira wa miguu tumefurahi sana 😂
Chuma ya kazi 🔥View attachment 3561564
Tuongezeeni pesa kidogo basi.
Nasema hivii nyie ni Ng'ombe wa masikini, wahenga walikua wanawazungumzia Arsenal.
Mkitoka hata na kikombe cha kahawa msimu huu niulizwe mimi.
Mfano huyu jamaa aliyenimention hata simjui.
Pep kamzidi ujanja mwanafunzi wake, sio mbaya sana. Tungefungwa na tim nyingine yoyote ingeniuma zaidiTumetema competition ya kwanza.
😂😂😂😂 usiumie sanaMfano huyu jamaa aliyenimention hata simjui.
Labda alikua ana username nyingine ila simjui, baada ya matokeo anapata guts za kunimention