Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Humu tuu
IMG_8663.jpeg
 
Mkuu, ninaweza kufa bila kushuhudia Arsenal wakichua kombe lolote linalofurahisha tangu ile EPL ya 2004, ndo maana nina hasira sana.
Punguza hasira mkuu, mpira fanya iwe sehemu ya burudani tu, usichukulie sana serious.. mie nimefanikiwa kutoka huko najua maumivu ya mpira, ile tunakufa fainal ya uefa vs barca, siwezi sahaubsiku ile almanusura nipate degedege, maumivu makali, moyo kama unanyofoka
 
Jamaa wewe "mjinga" sana. Kwa hiyo hao wangepangwa ndio wangewazuia Silver, Cherk, Doku, Rodri et al. Hao wahuni wana uwezo binafsi wa kumiliki mpira. Unaleta timu haina ufundi wowote ni kutegemea kona na faulo. Pambaf sana.

?
Bahati mbaya, mie siwezi zungumzia mpira na wewe mzee,
Soma tena ulichoandika.. kabla ya game hii kuna game ngapi city hajapata ushindi kwa arsenal?

Mie nazungumzia kuwekwa benchi wachezaji wazuri na ww unazungumzia nini sasa 😂
 
Back
Top Bottom