Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Punguza hasira mkuu, mpira fanya iwe sehemu ya burudani tu, usichukulie sana serious.. mie nimefanikiwa kutoka huko najua maumivu ya mpira, ile tunakufa fainal ya uefa vs barca, siwezi sahaubsiku ile almanusura nipate degedege, maumivu makali, moyo kama unanyofoka
Dah, ngoja tu ninywe pombe usiku huu nipunguze hasira, natumai kesho nitakuwa sawa.
 
😂😂 sema man city Leo imecheza tofauti tusiilaumu arsenal. Yan Leo city walijigawanya pande mbili, wanaoshambulia na wengine walikuwa krb na high line hawatoki😂
 
Tusijifariji, tungejilegeza tukatolewa na chelsea nusu fainali.

Ni kweli kama tungewekewa hapa epl hapa carabao sote tungechagua epl, ila hakuna mwanadamu asietaka zaidi, epl tunaitaka lakini carabao pia tuliitaka ni vile arteta kaleta upimbi
Nikweli ila tu focus na EPL ndio hata TH14 alichosema.
 
Back
Top Bottom