Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Haya Makenge,Piga hawa kenge mavumbi, arsenal ni 🔥
Yana macendee,
Kumbe macengeee,
Haya mang'ombe yamejua kutuharibia weekend yetu leo.
Haya Makenge,Piga hawa kenge mavumbi, arsenal ni 🔥
Kweli boss,kuna ujinga unafanyika,yaani unakuta ushangae! Like hawa huwa wanapokea aina gani ya maelekezo? Kipindi cha kwanza zimepotea nafasi tatu za kufunga,yaani mtu yupo kwenye position anatoa pasi kwa mtu alie out of..Ni jambo la kisaikolojia ili tuwe sawa misimu inayoendelee ubingwa msimu huu ni muhimu sana
Mna hangaika ka mbuzi wa kafara.Hata Droo sio mbaya halafu City wanakuja kushinda kwa chelsea na Arsenal, hesabu halidanganyi hahahaha........
Mbwa koko hujamboImeisha hiyo.
Ila leo ushindi kweupe kwa Chelsea
MWaka huu zero trophyMwakani conference league
Hehehe tukutane MarchMWaka huu zero trophy
Sahivi nikushinda mechi zote zilizobakia tuu dhidi ya City tutaiendea kibingwa zaidiRaya saved us so much especially dakika za mwisho.
Kituo kinachofuata ni Brighton
Tutafurahi kazi ikiisha nduguTia maji tia maji.. mnashinda lakini hamna furaha!
Tupo na nyie mpaka mwisho wa msimu Pep ananyanyua kwapa !
Unateseka ukiwa wapi jamaa😅Tia maji tia maji.. mnashinda lakini hamna furaha!
Tupo na nyie mpaka mwisho wa msimu Pep ananyanyua kwapa !
Kwamba Arsenal pekee ndo ina magoli ya corner ama?Hivi siku fifa wakisema wanaondoa corner kicks nyie kenge mtakimbilia wapi.