Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

20260301_161526.jpg
 
Arsenyembo wengi hawajui kuhusu mechi ya Chelsea VS arsenal hasa mechi za maamuzi.

29 may 2019 Baku Kwenye fainali ya europa, Chelsea tukishinda kwa sababu kombe lilikuwa mbele yetu.

Baada ya hapo mkawa mnatufunga kwa sababu hakuna lolote la kutufunya tushinde dhidi yenu, hili hata nyie n mashahidi mmetufunga sana ila je mlipata nini? 😂

Chelsea anapofika kwenye mechi za maamuzi anabadilika sana, refer fainali zote alizocheza Chelsea

Sasa Leo Chelsea tunakwenda kushinda kwa bao nyingi kwa Sababu point zetu zitawafanya mshuke chini baada ya Man City kushinda game lake la 29 sawa na nyie.
Umeandika pumba tupu tu.
Hivi nikuulize wakati Arsenal inawaondoa kwenye carabao cup katika semi fanali hakuwa mmeona kombe mbele yenu?

Na pia mliwezaje kupoteza dhidi ya Manchester United kwenye fainali ya UCL mwaka 2008, ina maana hamkuwa mmeona Hilo kombe mbele yenu?

We jamaa unachekesha Sana 😅
 
Ukiwa timu ndogo lazima unyanyaswe kubababake.
Villa sasa wataanza safari ya kwenda Europa
 
Leo mkijitahidi ni draw......

Sema mna advantage moja tu, Chelsea beki yako hakuna kitu, na forward yenu ni butu ..tia maji tia maji

Wacha tuone.....mparuane tu hakuna namna
 
Kikosi chetu hakijabadilika.

Ni kilekile kilichocheza na Spurs.

Eze bado ni AM.

Hincapie bado ni LB.

Hatujafunga magoli ya kona muda mkubwa umepita nafikiri leo ni siku sahihi kuanza tena.
 
Hatar katk lango la asenal gooooo hatimahe chelse wanajipatia bao la pili sizan kama watarudisha
 
Kikosi chetu hakijabadilika.

Ni kilekile kilichocheza na Spurs.

Eze bado ni AM.

Hincapie bado ni LB.

Hatujafunga magoli ya kona muda mkubwa umepita nafikiri leo ni siku sahihi kuanza tena.
Hehehe
 
Back
Top Bottom