Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Refa kakaa upande wenu lakini jamaa yamewaweka.
Sikilizeni kwa umakin, hakikisheni hii mechi mnashinda maana hamtoweza tena kuonekana katika hili jukwaa lenu tena kama mtapoteza au mtasare hii mechi.
 
Timu bila set pieces basi halipati magoli bado yanajisifu yana timu kali.
😃😃
 
🤣🤣🤣 Chelkenge mkikaza makalio kipindi cha pili mnaondoka na points3, Arsenyau mechi za presha hua wanagawa tu utamu wenyewe, na vile wamemuona City anawabambia kwa nyuma, wanajikuta wamelegea wenyewe na kuanza kutanua mapaja.
 
Attachments

  • 1746865204876.jpg
    1746865204876.jpg
    116.1 KB · Views: 20
Kispanish Uno Uno a.k.a moya moya
 
Ila Arsenal bana
 
Mechi za Brentford na Wolves tungeshinda inawezeka za Spurs na Chelea tungesuluhu.

Na tofauti ya points ingebaki hivi hivi.

Route tuliyopita ndiyo tamu. Piga wapinzani wa jadi na hizi kenge zisibaki hata 6 bora
 
Pamoja na ushindi leo,arsenal haijacheza vizuri,kwa maana ya kupoteza nafasi muhimu.
Kiukweli kunakitu kocha anamis kwenye namna ya kuwafanya wachezaji waone umuhimu wa hizi mechi zilizobaki.
Kipa amefanya kazi yake vizuri sana,tunaamini mwaka huu Arsenal atanyanyua kwapa,pamoja ni kwa taaabu.
 
Inachotakiwa kushinda mechi kama hizi na kuja kummalizie City mwenyewe
 
Pamoja na ushindi leo,arsenal haijacheza vizuri,kwa maana ya kupoteza nafasi muhimu.
Kiukweli kunakitu kocha anamis kwenye namna ya kuwafanya wachezaji waone umuhimu wa hizi mechi zilizobaki.
Kipa amefanya kazi yake vizuri sana,tunaamini mwaka huu Arsenal atanyanyua kwapa,pamoja ni kwa taaabu.
Ni jambo la kisaikolojia ili tuwe sawa misimu inayoendelee ubingwa msimu huu ni muhimu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom