Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

🚨Did You Know?
A total of 138 corner goals have been scored in the 2025/26 Premier League season so far.

Looking at it, you’d think Arsenal F.C. have scored 100 of them and left the remaining 38 for the other 19 teams 🤣.

But in reality, Arsenal have scored just 16 out of the 138.

IamMrLiverpool
 
Liver kafa jana ila hamna anayeshinda uzi wa Liverpool kujifanya analeta takwimu
 
🚨Did You Know?
A total of 138 corner goals have been scored in the 2025/26 Premier League season so far.

Looking at it, you’d think Arsenal F.C. have scored 100 of them and left the remaining 38 for the other 19 teams 🤣.

But in reality, Arsenal have scored just 16 out of the 138.

IamMrLiverpool
Wapili kufunga magoli mengi ya set pieces ni Liverpunga.

Lakini kocha wao na plastic fans wao ndio wanalaumu kweli.
 
Leo tena tupo uwanjani. Huu mwendo wa mpera pera uko mashindano manne halafu unacheza kila baada ya siku mbili halafu unataka ukimbie non stop? No ni kuwanyoosha kwa set pieces mpaka wakome
 
Kikosi hakijabadilika sana. Kutoka kile kilichomgonga Chelsea hichi cha leo katolewa Trossard na kawekwa Martinelli.

Formation ni 4 2 3 1.

Brighton wameweka watu ambao watawapa flair pale kati, pace pembeni na kwa ST wao.

Tuna mtihani but so do they. Anyone who wants it more will take this.

We need shooting nje ya box
 
Zubimendi na Rice si watachoka sana? Hawa jamaa sijaona wakipumzishwa msimu wote!

Anywa, fingers crossed 🤞!
 
Back
Top Bottom