Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,423
Liverpool kakandwa jana, nyumbu ana lia lia wakati Newcastle ana red card huko.Wakandwe tu😅
Kina kenge maji Flano, IamMrLiverpool kimya, ila ingekuwa arsenal kelele za mbwa koko wa kimarra.