Joe Milla
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 1,500
- 2,654
Arsenal akipata kocha wa PSG ubingwa EPL ataupata au hata akirudishwa Unai.😂😂😂😂 kumbe akishalewa ndo huwa anakuja kutuambia mambo ya standard za shot on targets huwa ananifurahisha mpaka nawaza hivi hawa arsenal fans huwa wanaishi dunia ipi?
Kuna mmoja huyo ile game ya kwanza na PSG ilivyoisha kesho yake ananiambia ameota wamempiga PSG goli 2 halafu anaongea kwa uhakika sana
Arsenal wanacheza mchezo laini si wakibingwa.Timu huwa zinafungwa kwa kuiogopa ila kama timu inaingiana na mbinu nzuri Arsenal wanatabirika.