Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukiwa na viungo wa hivi ni halali kutegemea set pieces
Screenshot_20260126_175858_X.jpg
 
Mashabiki msichokijua ni kuwa Stan Kroenke ana kipengele katika mkataba wake na muuzaji wa klabu kuwa ikitokea arsenal anachukua ubingwa wa EPL au UCL, basi atalipa mabilioni ya pesa kwa muuzaji.
You know what I mean, don't you?
 
Arteta ni galasa, jana eze na gyokeres wali kuwepo akaona aanze na mgese mwenIe
game ya jana ilikuwa ya kuanza na merino/eze kwenye 10, then mbele gyokeres, sub ya trossard ni martinelli kama kwaida tena kwa game ya jana ilimfaa martinelli second half game za fujo fujo ndo zake, man u wancheza kwa fujo hawana formula wanakuja tu hawana cha kupoteza.
 
Siku moja kabla ya game nilisema kabisa nina uhakika man utd hatafungwa na false hopers na nikasema tena kitakachotokea kwa arsenal players ni kutetemeka ovyo ndicho kilichotokea vile vile , arsenal anongoza mmoja lakini unaona players kupiga pasi hawawezi wanatetemeka na bado wanaongoza what if man utd ndo angekuwa anaongoza si ndo goli 8 zingejirudia 😆.

Nasema tena huwezi kushinda ligi kwa kumzonga kipa kwenye mipira ya kona ili ufunge.
NARUDIA TENA ARSENAL HABEBI KOMBE LOLOTE MSIMU HUU!
 
Arteta ni galasa, jana eze na gyokeres wali kuwepo akaona aanze na mgese mwenIe
Gyokeres hamna player pale kubalini tu mmepigwa .
Maneno kama hayo ungesema mbele ya arteta nadhani mngeshikana mashati yaani arteta as player hapo arsenal hajanyanyua kombe lolote la maana halafu unataka anyanyue as coach si matusi hayo.
Garasa ni team yako miaka 22 bado inatengeneza team.
 
Akili walau ziwarudi.... 3 on target zote kamba

Mbwa kabisa
Castr anakuambia wamejiwekea standard as big team , unamuuliza kinachowafanya nyinyi kuwa big team ni nini?? Anakujibu wana defense nzuri isiyoruhusu shot on targets😂😂.

Sasa unajiuliza na wenye UCL, EPL standard yao ikoje kama kuna team inajisifia kuwa na fews shot on target
 
Nadhani Arteta atafute CAM mwenye quality,Odegard kucheza kama RAM anafanya timu iwe predictable kwenye kuandaa mashambulizi kwani unajua kabisa pasi itapigwa kwa Odegard kwenda kwa saka na pass zenyewe fupi fupi sio za kukata lines kwa box la wapinzani
Huyu khuma anatuzingua, anajiona timu kama ya baba yake, kajihakikishia namba. Kiwango chake kimepungua... awe anacheza eze au merino mpaka akili imkae sawa.
 
Wakati tunawaambia maana ya team hii kuitwa false hopes ni tendecy yao kushinda game zisizokua na umuhimu wowote wakakunja ndita wakiona tunawaonea wivu.

Game muhimu hushindi unashinda game zisizokua na faida kwanini tusikuite false hopers . Kuna ile rice anasema its fucking every times when we have a chance to increase the points gap another blow, dogo saka akamtuliza welcome to the false hopes club mate😂.

Vipi wazee bado mnaamini kuna ubingwa hapa?? Points 4 kwa city halafu arsenal hii ya kutegemea corners hata unishikie bunduki ukweli utasemwa tu
NARUDIA TENA ARSENAL THIS SEASON ANATOKA BILA KOMBE LOLOTE
Mmh we jamaa ni big critic wa Arsenal, ila uweke akiba ya maneno
 
Nimeanza kuishabikia Arsenal Mwaka 1996,Huwa naamini sidhani kama kuna mwanadamu hapa Tanzania anayeijua na kuhifahamu vizuri timu ya Arsenal kushinda mimi UMUGHAKA

Itoshe kusema Arsenal hawezi kuwa Bingwa hadi siku ambayo itaachana na Tapeli Kroenke na kampuni yake!,Tofauti na Hapo mashabiki hoya hoya endeleeni kujifariji !

Kumbukeni Mara ya mwisho Arsenal anakuwa bingwa bila kupoteza mechi msimu mzima 2003 - 2004 Haikuwa inamilikiwa na Kroenke!,Baada ya Kroenke tu kuichukua hii timu,Hapa ndipo alipotufikisha!

Siku Kroenke atakapoiachia hii timu basi Arsenal atakuwa Bingwa wa Epl mara nyingi kuliko Liverpool na Man Utd!

Nyie watoto wa Juzi msiyoielewa Arsenal Najua lawama mnampa Arteta na Wachezaji but tambueni Tatizo haliko kwa Arteta na Wachezaji bali tatizo ni Stan Kroenke kupitia kampuni yake Tanzu ya KSE!

Siku mtakapolitambua hili wala hamtampa kocha na wachezaji lawama !

Tukutane Msimu Ujao!
Yah Smtym Arsenal wanazingua na Kocha wao Arteta lkn tusiache kutunza akina ya maneno
 
Back
Top Bottom