Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyo jamaa huwa anacheza? Ameingilia vipi matokeo ya leo ya Man u kwa mfano?! Vipi matokeo ya kwanza Arsenal aliposhinda dhidi ya Manchester ndani ya OT, vipi huyo Kroenke aliathiri vipi hayo matokeo?Tusaidie mkuu
Endelea kushangilia mpira mkuu hadi siku Arsenal itakapokuuwa ndipo ukiwa kaburini utaelewa nilichokiandika!
 
Endelea kushangilia mpira mkuu hadi siku Arsenal itakapokuuwa ndipo ukiwa kaburini utaelewa nilichokiandika!
Tunahitaji perspective yako kwenye hili mkuu, wengi hatuelewi huyo jamaa anachangia vp nyie kutofanikiwa?
 
Huyu arudi tu majeruhi msimu mzima asiwepo, ana gundu huyu boya.

IMG_2969.jpeg
 
Vipi hapo ? Maelezo mengi yamejaa false hopes haya man utd kaja hapo emirates ambapo hamjapoteza game na kachukua points 3

Dorgu sio tu kachukua points 3 kapiga na chuma mmoja ya moto sana.

Hii man utd iliyochukua points 3 muhimu ukimuuliza kila man utd fans kuhusu ubora wa team yao atakuambia man utd ni mbovu ila njoo upande wa pili wa arsenal, hii ndo team yao bora zaidiii the best team right now ukiuliza ubora wao uko wapi watakuambia magoli machache ya kufungwa mara hawaruhusu shot on targets na hizo ndo standard ya ubora wa arsenal.

Jiulize kama man utd mbovu inamfunga arsenal ambayo bora kabisa kwenye match muhimu kama hii , je arsenal angeweza kuifunga man utd bora kabisa kwenye match yake muhimu ?
Kupata jibu rejea wakati man utd ikiwa bora kabisa.

Standard ndo inaonekana hapa why man utd ni club kubwa kuzidi arsenal wakati arsenal ubora wao ni mambo ya shot on target with zero trophy man utd ubora wao ni trophies , standard ya ardhi na mbingu.
Wewe tupe matokeo ya Nyukesto na Villa kwanza,unashupaza shingo kwa Arsenal wakati team yako yenyewe ni tia maji
 
Sasa jana mapema kabisa nikawa booked, nilicheki mechi mpaka half time kisha nikaenda kuhutubia. Kwakua Chelsea na United ni vibonde wetu hata sikutaka kufuatilia mechi.

Kwahiyo baada ya pale nikakuta tumekufa nikaendelea na hotuba kulivyokucha nikakimbilia mihangaikoni.

Kama mnahisi sipo humu kisa matokeo ya jana mnanikosea sana. Na ninarudia tena alifungwa City, Liver (siitaji United coz tumezoea afungwe) ila nzi wote wapo humu.
Screenshot_20260126-120517~2.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom