Joe Milla
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 1,500
- 2,654
Arsenal kwenye kulinda ni mbovu. Anaokolewa sana na kushambulia ila ukiwatia presha huwa wanafungwa sana tu.Shambolic defending,
3 on target, zote goli.
Na timu hizi zinazocheza low block na kubana nafasi zote ujue kazi kuwafunga ndo tukaja na mbinu ya kona ila Arteta aache kukalili ndo maana huwa timu zinatushangaza kama hivi ila ndo mbinu za mwalimu kuzidiwa.
Timu letu pia linawavivu kibao ni kama kukaba wameachiwa mabeki peke yao.