secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,060
- 42,815
Goaaaaal! Gyokeres anawalawiti Inter hapa.
labyrinth nilikwambia Haaland asipofunga Man city huwa wanastruggle Sana kupata matokeo bt ukakaza fuvu nadhani mwenyewe umeona kinachowakuta huko.
Kuhusu beki za Man City Josko Guvardiol msimu wake ndo umeisha hivo mpaka next season ndo arudi uwanjani.
Stones sio wa kumtegemea kbsa kwa sababu huyu ni trip moja uwanjani trip nyingine wodini.
Dias atakuwa nje kwa zaidi ya week sita na kabla anarudi nadhani tutakuwa tushacheza na City
Hakuna upuuzi ushindi wa leo ni unaonyesha kwanini nyinyi ni false hopes, ukiwa false hopes haimaanishi wewe unakua na majanga tu kila mara bali kwenye mambo yasiyokua na maana unakua na furaha na yale mambo ya maana huna furaha.Na bado kuna pimbi litakuja kuandika upuuzi.
Mimi nipo hapa
Ushindi wa leo ni pure false hope. Hivi game ya leo na Nottingham ipi ni game ushindi wake ulikua wa muhimu zaidi? Ukipata jibu sahihi utajua kwanini tunawaita false hopers. Tukutane May.What a response from a draw away at Nottingham Forest...
Haters JIUENI...
COYG
Tulivyocheza na liver, na hii game ni kama moto unakata. Kuziacha point 4 ni nyingi sana.
Tunawakaribisha wengi kwenye mbio za ubingwa.
TImu imeshinda mechi 7 mfululizo unasema ni false hopes?! Dude?!M
Hakuna upuuzi ushindi wa leo ni unaonyesha kwanini nyinyi ni false hopes, ukiwa false hopes haimaanishi wewe unakua na majanga tu kila mara bali kwenye mambo yasiyokua na maana unakua na furaha na yale mambo ya maana huna furaha.
Unashindwa kushinda match muhimu na Nottingham unakuja kushinda na inter match isiyokuwa na umuhimu wowote , najua huwezi kunielewa saivi ila May utanielewa
Ukisikia kupiga kwenye mshono ndo Huku Sasa 😀 😀 😀 😀Ushindi wa leo ni pure false hope. Hivi game ya leo na Nottingham ipi ni game ushindi wake ulikua wa muhimu zaidi? Ukipata jibu sahihi utajua kwanini tunawaita false hopers. Tukutane May.
Mahaters mtateseka Sana msimu huu,endeleeni kutuwangia ila mwisho wa siku aibu itakuwa kwenuUkisikia kupiga kwenye mshono ndo Huku Sasa 😀 😀 😀 😀
Anyways Tunaendelea kuwakumbusha Hawa mayatima
Msimu wa 25/26
FALSE HOPE FOOTBALL CLUB
1. Carabao cup: FALSE HOPE🔞
2:EPL loading: FALSE HOPE🔞
3: UEFA loading: FALSE HOPE🔞
4: FA Cup : FALSE HOPE🔞
Usikute wanabanduana, wazungu hawana dhamanaArteta na Odegaard sijui wanapeana nini.
Game ijayo unaweza kuona kamuanzisha na hamtoi mapema hata akizingua.
Andika chini ya maelezo yake, huwa ina tokea toJamani naombeni mnisaidie kwa anaejua.
Nikijaribu kureply ujumbe wa mtu basi yanakuja maelezo yake yote kwenye box ninalotakiwa kuandika maoni yangu.
Hili tatizo halikuwepo hapo kabla.
Okay shukran.Andika chini ya maelezo yake, huwa ina tokea to
Sikujua kama wamebadilisha hivi.Andika chini ya maelezo yake, huwa ina tokea to
Just an error, huwa ina tokea once in a while.Sikujua kama wamebadilisha hivi.
Mbona mfumo mbovu huu mwanzo haikuwa hivi upande wangu na hata sikuwa najua hlo.
Shukrani kwa kunijuza.
Kwangu inatokea kila siku kiongozi.Just an error, huwa ina tokea once in a while.