zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,906
- 36,831
Umeongea pointi nyingi sana ila hili ndio linanikera zaidi. Over coaching bila sababu zinatucost sana.Ujuaji wa coach
😂😂😂😂😂😂😂Arse8 fungu la kukosaKops Saint Anne, Captain Marvelous, The MoNA, Bristolian, Msela Wa Kitaa, Grau, Manyanza tuna kibali cha kunya m**vi kwenye huu uzi wa Arsenyani kwa muda wa siku 100. You'll never walk alone kopites
HahahhWe ndio shabiki maandazi nenda kacheze wewe kama ni rahisi
KhekhekheeeeeeThe world is not ready for this!View attachment 3456218View attachment 3456220View attachment 3456221
Kacheza vizuri lakin kiukweli madueke atabaki kuwa madueke tu, utulivu kwenye maamuzi ni C au DStats zimemkataa. Au kacheza vizuri?
😆😆😆😆😆😆😆Arsenal are unbeaten in their last 6 PL meetings against Liverpool
View attachment 3457833
mkiachana na Arteta kiwigi mtachelewa sana kumpata kocha mzuri, lakini Kiwigi hatochelewa kupata Club ya maana. Jichanganyeni Barcelona wamwagikane na Hansi FlickAt the end of this season nadhani Berta anawezakuwa na kazi nyingine kubwa ya kutafuta kocha mpya ambaye yuko matured kutuvusha hapa tulipo. Huyu kocha asipokuwa makini ataishia kuwa a new Mauricio Pochetino.
mkiachana na Arteta kiwigi mtachelewa sana kumpata kocha mzuri, lakini Kiwigi hatochelewa kupata Club ya maana. Jichanganyeni Barcelona wamwagikane na Hansi FlickAt the end of this season nadhani Berta anawezakuwa na kazi nyingine kubwa ya kutafuta kocha mpya ambaye yuko matured kutuvusha hapa tulipo. Huyu kocha asipokuwa makini ataishia kuwa a new Mauricio Pochetino.
Nyie wajinga mnategemea kuchukua epl mwaka huu kweli hamna akili
even last season you went toe to toe with us na ubingwa ukaja Anfield. aliyewaiteni false hopers ajengewe sanamuWell done Arsenal. It was a tough game away today, japo Liverpool kwa mechi ya leo walikua kawaida.. we could have gone with them toe to toe without Arteta's arrogance.
Free kick ndio imefanya mabadiliko, otherwise sikuona matokeo tofauti zaidi ya sare kwa timu zote zilivokua zikicheza.
All in all, nategemea mambo mazuri msimu huu maana pamoja na injuries bado tunabaki na timu nzuri.
Figo ndio ikaenda hvyoNext match tunashinda tena, bet weka figo
HIhihiSio tu Arsenal hata Liverpool nao shida ipo. Hizi timu ukiziangalia kwa jicho ambalo sio la kiushabiki utaona zina tatizo mbele kwenye nafasi za ushambuliaji. Ekitike kucheza 9 hapana aisee. Shukrani wamempata Isak.. Florian Wirtz bei yake pamoja na anachokitoa ni contrary. Ni kama pace na intensity ya ligi bado ni changamoto kwao. Lakini ni mapema sana kuwahukumu inahitaji muda zaidi kwasababu ukikurupuka sana utatafuta injury ambazo kwasasa ni Kisanga kwa wachezaji wengi. Miili bado imepoa. All in all, ni matokeo mazuri sana kwa Liverpool ukizingatia umeyapata kwa timu kama Arsenal. Cheza vibaya au vizuri muhimu ni point tatu.. Hilo ndio la kujifunza