Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimesoma kuwa tumetuma washenga Ureno tangu weekend hii iliyoisha mpaka leo wameamua kurudi bila kuafikiana na Sporting. Kuna uwezekano kuwa sasa tutaanza upya kutafuta striker.

Gyokeres anatamani sana kuja kwetu na inaonekana sisi pia tunamtaka sana ila tunatofautiana na Sporting kwenye thamani ya mchezaji. Inaonekana tumeelewana bei ni €80m jumla, sisi tunasema €65m + €15m kwa add-ons, wao wanataka €70m + €10 kwa add-ons.

Kama kweli, japo sidhani kama kweli tunapishana million 5 tu kwenye upfront fee, nitaendelea kuona kweli mambo mengine yanafeli kwa vitu vidogo tu. Of course siwezi kusema 5m ni ndogo, huku bongo unaweza kunyimwa mke kisa mbuzi uliyepeleka hakuwa mnono vya kutosha kuwaridhisha wake wako watarajiwa.

Tuendelee kusikilizia hili kwa kama wiki mbili hivi.
Si waweke akunti muwachangie nyie wamatumbi sio mnapiga kelele halafu hata Mia mbovu hutoi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu usikate tamaa, Madueke yule ni Yamal mtupu, tofauti yao ni nywele na komwe tu.
Madueke misimu yake miwili tu chini ya Masterclass Tetea Kiwigi anabeba Ballon d'Or.
Arsenyo chini ya winga teleza Noni Yamal Madueke ikishindwa kuchukua Treble msimu huu Chelsea wanawarudishia hela yenu[emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa unakuwaga mjanja Sana😅
 
Mchezaji mnamchukua na kigenge kizima kinashukuru.

Madueke kwa takwimu zake hizi hizi tungekua tunamnunua kutoka labda Lyon au CP mashabiki wangeona sawa tu.

Ila shida ni anapotokea. Kuna sehemu nimesoma kwamba Arteta amemtaka Madueke ili asingekuja akikosa makombe asingizie hakuletewa Madueke
Hakuna kocha pale.

Endeleeni kujifariji nae tu.
 
Gyokeres asipokuja qmmk sijui itakuwaje. Hii timu inaweza ikakulaza hospitali usipokuwa makini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kila siku tunavyosema humu kua Arsenyashi ni kikundi cha comedy hua mnajifanya hamuelewi, haya angalieni sasa jinsi mpaka sajili zenu zinavyowachekesha na kuwavunja mbavu wapinzani wenu[emoji16][emoji16][emoji16]
1710748027241.jpg
 
Madueke mtu sana, anaweza akaamua siku hiyo akaambaa ambaa na mpira kwnye chaki kulee gafla akachuna breki kama ngiri akaanza kurudi alipotoka.

Sema nini?! Nyie Arsenal ndio rafiki zetu wa kweli, kwnye wakati wa shida na wakat wa raha.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema Arsenyashi wanajua sana kutufurahisha mashabiki wa timu pinzani.
1974814605.jpg
 
Ebwaneee. Tumemchukua Noni kiu

Tupeni na Badiashile kabisa maana tumeamua kuwasaidia kutatua matatizo yenu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nilichogundua mashabiki wengi wa Arsenyashi wanam-underrate Madueke kwa vile tu Masingeli amelikimbia hili jukwaa.
Nina uhakika hamis77 angekuwepo humu angempamba Madueke kama vile alivyompamba Harvez na misukule yote ikaingia kwenye mfumo wa kusifu na kuabudu.
Sema lile jamaa lilikua linajua sana kushawishi, halafu lilikua linawachukulia mashabiki wa Arsenyo kama matakor yake.

Hizi hapa chini ni nukuu zake kuhusu Kai:

"Kai ni mzuri kwenye aerial duel, Kai ni mnyumbulifu, Kai ni king of pressing Epl.
Nketiah sio presser Kama Kai ,huwezi kutaja wachezaji wanaojua ku press EPL watano ukamuacha Kai havertz."
1752243005970.jpg
 
View attachment 3401954
Aisee huyo jamaa 😂 strength mpk za ngolo kante😂
 
Nimecheka sana, hapo alipokua anampamba Havertz,😂😂 Havertz huyu huyu wa Arsenal au alikua anamuongelea mwingine!!!

Sijui kwann jamaa hajaribugi kuingia kwnye siasa ana nguvu kubwa sana ya ushawishi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom