Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,409
- 102,309
Wewe ume Anza kuishabikia arsenal Mwaka gani?, punguza hopes na hii timu ku blunder ndio kipaji chake Kikubwa dunia nzima.Sio kwamba hawajui wanachokifanya, na hata wao wanajua wanahitaji Top CF, deal la madueke limekamilika na dili ya Gyokeres litakamilika kwan kati yetu anajua Bajet ya Arsenal msimu huu ni kiasi gani???.
Waulize kina makaveli10, HENRY14, mkorea na hata Flano hii arsenal sio ya kuisemea kudadadeki 😂 😂