Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Binafsi nimeishiwa maneno.madueke kabisa?
Nahisi something is going on between Chelsea and arsenal top management.

Mimi sio kocha ni sawa
Mimi sio mmiliki ni sawa
Mimi silipii kadi ya uanachama ni sawa
Mimi silipii kiingilio ni sawa
Mimi sinunui Jessy original ni sawa
Mimi Sina mchango ni sawa.


Ila huu ni ujinga tena zaidi ya ujinga.

Hakuna mchezaji aliyetoka Chelsea akaja kwetu akadeliver constructively.

Gallas,William,peter zcheck,yos benayoun,mbuzi Kai harvets, hawa kunguru wote came to retirement mode klabuni kwetu.

Sasa naanza kuamini uchawi upo.ngoja nijipe muda
😅😅😅😅😅😅, kwamba hujui Arsenyani ni chaka la Chelsea kuoffload takataka zake ? Mithili ya Jalala ?
 
Timu km Chelsea au Manyumbu ukipangia kina Madueke, Noorgad, Kepa, harvertz wanatosha kuwaua, sio lazima wacheze Saka au Eze
Timu kila mwaka inashindana kubaki na kombe lake la top four ndio yakuzungumzia nayo
 
Madueke mbona ni mtu sana tu

Madueke ana skills, sharpshooter, runner, versatile so timu kama nyumbu, kenge,.. atakua anazima fresh tu

Eze na Gyokeres hizi ndio funga kazi tunazo zisubiri
Madueke leo ameanza kuimbiwa nyimbo za kusifu na kuabudu kisa anakuja arsenal jinga kabiqa
 
Nilichogundua mashabiki wengi wa Arsenyashi wanam-underrate Madueke kwa vile tu Masingeli amelikimbia hili jukwaa.
Nina uhakika hamis77 angekuwepo humu angempamba Madueke kama vile alivyompamba Harvez na misukule yote ikaingia kwenye mfumo wa kusifu na kuabudu.
Sema lile jamaa lilikua linajua sana kushawishi, halafu lilikua linawachukulia mashabiki wa Arsenyo kama matakor yake.

Hizi hapa chini ni nukuu zake kuhusu Kai:

"Kai ni mzuri kwenye aerial duel, Kai ni mnyumbulifu, Kai ni king of pressing Epl.
Nketiah sio presser Kama Kai ,huwezi kutaja wachezaji wanaojua ku press EPL watano ukamuacha Kai havertz."
View attachment 3401954
Nitake radhi, sijawahi mkubali huyu ndege john mimi.
 
Madueke mbona ni mtu sana tu

Madueke ana skills, sharpshooter, runner, versatile so timu kama nyumbu, kenge,.. atakua anazima fresh tu

Eze na Gyokeres hizi ndio funga kazi tunazo zisubiri
kweli kabisa aiseee Madueke ni mtu na nusu.
Huyo Maduduke mmoja ni sawa na Desire Doue watano, Barcola wanne, Rodryigo watatu na Yamal wawili.
 
kweli kabisa aiseee Madueke ni mtu na nusu.
Huyo Maduduke mmoja ni sawa na Desire Doue watano, Barcola wanne, Rodryigo watatu na Yamal wawili.
Madueke n squad player, anakuja kumpa challenge martinel au anakula bench (mchezaji wa sub)

Msimu huu tuna jambo letu, mchezaji wa sub tunamchukua kwa €52m. Nyumbu hamuogopi?
 
Madueke n squad player, anakuja kumpa challenge martinel au anakula bench (mchezaji wa sub)

Msimu huu tuna jambo letu, mchezaji wa sub tunamchukua kwa €52m. Nyumbu hamuogopi?
Kweli kabisa Arsenyashi mmepindua meza, sasa hivi timu lenu ndio limekua tajiri kwa kusajili takataka za kukaa benchi kwa £50m halafu Nyumbu unaenda mwezi wa 3 huu wanashindwa kutoa £65m kumsajili Super Striker Bryan Mbeumo.
 
Viktor Gyökeres: “I only think about scoring and winning. It changes everything”.

“Premier League? I spent several years there without being able to play a single match. So, of course, it's something I'd like to do”.

“It would be great revenge!”, told L’Équipé.

IMG-20250711-WA0028.jpg
 
Viktor Gyökeres: “I only think about scoring and winning. It changes everything”.

“Premier League? I spent several years there without being able to play a single match. So, of course, it's something I'd like to do”.

“It would be great revenge!”, told L’Équipé.

View attachment 3403067
Nyumbu, kenge mmejiandaaje na hii hatari inayokuja siku za mbeleni?

Dhahama kuu ndani ya epl
 
Sijawahi ona mchezaji anaing'ang'ania timu kama KUPE kama huyo boya gyokeresi sijui ...mchukueni aisee..huyo anaweza hata kumuweka mama yake kwenye swap deal ili aje kwenu...
HAhahaahahahaha mwamba una wehu sanaa.

Umejua kunichekesha aisee.
 
Natamani usajili wa Madueke usifanikiwe.

Hata akienda kupimwa afya agundulike ana minyoo.

Arteta bado hajawa kocha wakupambania makombe.

Yule ni kocha wakuiamsha timu ikifika ilipofika Arsenal unatafuta mtu kama Enrique aje akupe makombe.

Kama kocha anapambana kumpa Madueke kuna nini hapo mara 100 anngemuacha Nwaneri apate uzoefu kwa Saka huku akiimarika maana kaonesha kipaji kipo.

Ila siwezi kushangaa kama alileta Sterling takataka ile akaipa dakika kwenye mechi ambazo haikustahl.Inaonesha uwezo wake ulivyo.
 
😅😅😅😅😅😅, kwamba hujui Arsenyani ni chaka la Chelsea kuoffload takataka zake ? Mithili ya Jalala ?
Nunueni wachezaji dunia nzima ila tukikutana na nyny kama kawaida yetu....ni kuwafumua....bdo tumebakisha wachezaji wawili...Eze na Gyokeres....
 
£52m Noni Madueke to Arsenal confirmed.. Ridiculous signing, contrary to what we need.. Chelsea are the best in business.. He is ours now, we need to support him.
Kuna mchezo viongozi wa Arsenal na Chelsea wanaucheza. Haiwezekani huu ni umaku kabisa
 
Shida ndugu kwenye hizi nyuzi za timu kuna watu huwa wanajioan wao ndio wana haii yakusifia na kukosoa wengine hapa.

Yaan wao wanajiona ndio Arsenal haswaa kumbe mafi matupu.

Mimi nilikuwa namkubali sana Arteta na hata alipochaguliwa kuwa kocha nilifurahi.Ila kwa nilioyaona hii misimu mi3 tuliyokosa kombe ni uzembe wake sio wa Kroenke kama tulivyokuwa tunawalaumu.

Halafu kimtu badala kije kujadili hoja iliyoletwa kanakuja kujadili taarabu nauhakika hata miaka 26 hana huyo.

Arsenal chini ya Arteta labda iniprove wrong ila sina imani nae.Wale Kroenke family wakitaka heshima wampetpet yule Luis Enrique aje.

Ukiiangalia Psg inavyocheza unauona uwezo wa kocha pale halafu ndio unauona uwezo wa wachezaji.

Ukiiangalia Arsenal inavyocheza unaona uwezo wa wachezaji halafu uwezo wa kocha ndio unafata.
Sahihi kabisa
 
Wakuu leteni hela hyo kwa streka la boli 😂...atamchallenge vzuri kai haverts na injury prone Gabriel Jesus

🚨 Arsenal are STILL interested in Nicholas Jackson.

However, they have not contacted Chelsea since they were told he'd cost £70M.

(Source: Standard Sport)
 
Back
Top Bottom