Atoke aende wap sasaHuy
Huyu Maresca naye amekuwa msemaji zaid siku hizi. Timu ina wachezaji zaidi ya 40 halafu wamecheza mechi 63 tu hiyo ni shida yetu au yake kutofanya rotation? Ila akibahatika kukibeba hicho kikombe atajisifia ila sasa hivi analia na wingi wa mechi, si atoke!


Oyaaa wanangu Arsenyau kwani msimu huu hamchezi emirates cup? Mpo kwenye position nzuri kwenye deal la noni maana mazungumzo baina ya club to club yameanza Chelsea anataka paund 50mNimesoma kuwa tumetuma washenga Ureno tangu weekend hii iliyoisha mpaka leo wameamua kurudi bila kuafikiana na Sporting. Kuna uwezekano kuwa sasa tutaanza upya kutafuta striker.
Gyokeres anatamani sana kuja kwetu na inaonekana sisi pia tunamtaka sana ila tunatofautiana na Sporting kwenye thamani ya mchezaji. Inaonekana tumeelewana bei ni €80m jumla, sisi tunasema €65m + €15m kwa add-ons, wao wanataka €70m + €10 kwa add-ons.
Kama kweli, japo sidhani kama kweli tunapishana million 5 tu kwenye upfront fee, nitaendelea kuona kweli mambo mengine yanafeli kwa vitu vidogo tu. Of course siwezi kusema 5m ni ndogo, huku bongo unaweza kunyimwa mke kisa mbuzi uliyepeleka hakuwa mnono vya kutosha kuwaridhisha wake wako watarajiwa.
Tuendelee kusikilizia hili kwa kama wiki mbili hivi.
Kama unaweza kutoa 50m kwa Noni Madueke plus ad ons unashindwaje kutoa 70m kwa Gyokeres. Sporting Lisbon wakazie hapohapo kwasababu wanazo sababu. Ugonjwa wa Arsenal katika usajili haujawahi kutibikaNimesoma kuwa tumetuma washenga Ureno tangu weekend hii iliyoisha mpaka leo wameamua kurudi bila kuafikiana na Sporting. Kuna uwezekano kuwa sasa tutaanza upya kutafuta striker.
Gyokeres anatamani sana kuja kwetu na inaonekana sisi pia tunamtaka sana ila tunatofautiana na Sporting kwenye thamani ya mchezaji. Inaonekana tumeelewana bei ni €80m jumla, sisi tunasema €65m + €15m kwa add-ons, wao wanataka €70m + €10 kwa add-ons.
Kama kweli, japo sidhani kama kweli tunapishana million 5 tu kwenye upfront fee, nitaendelea kuona kweli mambo mengine yanafeli kwa vitu vidogo tu. Of course siwezi kusema 5m ni ndogo, huku bongo unaweza kunyimwa mke kisa mbuzi uliyepeleka hakuwa mnono vya kutosha kuwaridhisha wake wako watarajiwa.
Tuendelee kusikilizia hili kwa kama wiki mbili hivi.
Ni usenge mtupu Arsenal wanafanyaNoni ? Mmejichanganya sana wazee ! Over 50m
Sidhani kama tuna mpango wa kumchukua Noni kiukweli mpaka sasa. Tutakuwa tunacheza hangaisha bwege na watu halafu tunachukua mchezaji mzuri ambaye hakuna mtu anajua tunaongea nae mpaka msikie tu tumeshamsajili. Kama tulivyofanya na dili la Norgaard.Mpo kwenye position nzuri kwenye deal la noni maana mazungumzo baina ya club to club yameanza Chelsea anataka paund 50m
Sasa mpaka mmekubaliana maslahi binafsi na mchezaji sio rahisi hivyo kumuacha maana hata Chelsea ipo willing kumuuzaSidhani kama tuna mpango wa kumchukua Noni kiukweli mpaka sasa. Tutakuwa tunacheza hangaisha bwege na watu halafu tunachukua mchezaji mzuri ambaye hakuna mtu anajua tunaongea nae mpaka msikie tu tumeshamsajili. Kama tulivyofanya na dili la Norgaard.
Nadhani kuna habari haziko sahihi. Huenda kwenye mazungumzo Sporting wanadai 90m huko halafu wanavujisha habari za 70 au kuna vipengele wanavyotaka ambavyo ni vigumu kwetu kutimiza. Maana kwa habari za mtandaoni, Rodrygo na Eze wanaelekea kuwa wa gharama kuliko Gyokeres na tunawataka hao. Tulimchukua Havertz kwa zaidi ya 60, hivyo sidhani 70 kwa Gyokeres ni kitu cha kujiuliza mara mbili mbili kwetu. Kutakuwa na kitu nyuma ya pazia na pia kama tumefika hapa, basi Gyokeres atatua tu Emirates. Ni suala la muda tu.Kama unaweza kutoa 50m kwa Noni Madueke plus ad ons unashindwaje kutoa 70m kwa Gyokeres. Sporting Lisbon wakazie hapohapo kwasababu wanazo sababu. Ugonjwa wa Arsenal katika usajili haujawahi kutibika
Ukisoma habari za mitandaoni, tumekubaliana maslahi binafsi na wachezaji kibao. Naona style ya huyu DoF wetu mpya ni kugusa kuongea na wachezaji wengi na kukubaliana nao halafu kuchangua mmoja au wachache mwishowe na kuongea na timu zao.Sasa mpaka mmekubaliana maslahi binafsi na mchezaji sio rahisi hivyo kumuacha maana hata Chelsea ipo willing kumuuza