Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hata arsenal akishinda leo kuna jambo ata kuwa amejifunza usikariri mambo na kuweka mapenzi sana mbele Psg hii sio sawa na Madrid hii Hawa watu ni wanajua mpira wanaojua mpira wanajua kwanini walitaka psg akutane na arsenal sio Madrid sababu ingekuwa kazi yake kule kama alichofanyawa aston vila tu watu walitaka pure football from two elite coaches

kumbukeni huyu muhuni enriqe alibeba haya makombe na Barcelona kule
 
Back
Top Bottom