PSG hata kwenye kushambulia wana rely zaidi kwenye indivudual techinical skills ya washambuliaji wao kuliko tactical fluidity na cordination, ndio maana wanafika golini mara nyingi sana halafu mashambulizi yanakuwa butu, mpaka akina Kvaritshka wapate angle nzuri ya kupiga mpira ndoa wanafunga.Partey ayaikosa mech ya kwanza ya PSG
Arteta aje na midfield ya
Merino Rice Ø
Why?
PSG Wana midfield nzuri sana kwenye possession ila OOP (out of possession)ni wabovu sana
Walipokuja Emirates walituzidi kwenye possession,ila tuliwazidi Physicality na OOP , wakala 2-0
PSG watu wanaona ni timu tishio ila ubovu wao ni ukiwafanyia press wanakuwa ovyo kwenye kukaba ,
Na hiko kitu Mikel anakijua sana ,hata Villa Jana waliwafanyia hivo ,
Sasa kuwamaliza twende na midfield ya
Merino Rice Ø
Hapo Kuna physicality na OOP
Kwa defense yetu ilivyo hicho kitu hawatakiruhusu.

