Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,718
Anaitwa Dembele magician, Yani kule paris ndo atawashow
Madrid washakua wanyela Sasa hivi huoni Barcelona wanavyojipigia Kila siku yaani hata wakiamshwa Leo wale watoto wa Barca wanawakanda MadridMiamba wanakwambia walimtoa madrid kwaiyo wanaweza kuitoa timu yeyote, bila kujali hata hiyo madrid wameitoa ikiwa na hali gani.
Hizi pimbi tulipiga bao tanoMiamba wanakwambia walimtoa madrid kwaiyo wanaweza kuitoa timu yeyote, bila kujali hata hiyo madrid wameitoa ikiwa na hali gani.
Gazeti refu limejaa pumba na mashudu jiandaeni na msimu mpya mpira hauchezwi Kwa kuandika magazeti marefu hivi mpira uwanjani dakika 90 ambazo wewe timu lako limekosa matokeo likiwa nyumbani unaisema Liverpool ambayo imechukua ubingwa wakiwa na kocha mpya ambao wewe Kila msimu unahema huna kombe unalobeba kazi kujipanga na msimu mpya hivi unaakili timamu kweli we mzee4 games
PSG vs Villa home and away
PSG vs Loserfools home and away
Loserfools away won 1 - 0 goli la jioni. Home lost 1 - 0
Villa away were defeated 3 - 0. Home they won 3 - 2
Ni kivipi Villa walimanage kuscore magoli 3? Aliyechukua kombe England, Loserfools, akiwa nyumbani couldn't do that. What happened?
Loserfools walishinda first leg, second leg opted same route waliyopita nayo first leg. Absorb pressure, Dembele disappointed them kwa goli la mapema la dakika ya 12. Loserfools reacted but luck was never by their side.
Three big chances, na zote wakamiss.
Njoo kwa Villa, first leg wakafungwa 3. Second leg mapema tu dakika ya 11 PSG wanapata goli la kwanza. Villa reacted, ikawapa 6 big chances ambazo 5 wakamiss ila wakascore magoli 3 PSG wakapata mawili.
I think attitude determined kila kitu kwenye game na PSG, Loserfools wakiwa away walicheza kama underdog ila home right after goli la mapema la Dembele wakaopt different tactic. But tangu mwanzo attitude ilikua kulinda ushindi.
Villa second leg ilikua hawana cha kupoteza so they went all out. Dignity ilishakua tainted Paris so hawakua na cha kupoteza. Their attitude gave them three goals, forward yao plus Rogers na McGinn wote wakawa focused na shooting.
Second leg against PSG inabidi tuache tabia mbili tatu unnecessary sideway passes, hesitation kwenye kushoot, CMs kusambaratika. Nashindwa sema Partey angekuepo ingetubeba kwakua tulikua shit kwenye kucapitalize chances, hii haihusiani na Partey.
Tukutane tena
Dah wazee mnawapiga spana Kila Kona😄😄Nilisema hapa ongeeni ila siku ya mechi lazima mjambe jambe hovyo mnapanga ratiba ya fainali wakati hamjavuka kigingi cha psg yaani mliichukulia psg wanyela kama Madrid sio jiandaeni na msimu ujao hamna mlichovuna mkicheza top four mtaisikia kwenye bomba
Dah wazee mnawapiga spana Kila Kona😄😄
Usajili ghali kuwai kufanyika bundesliga alaf arsenal wanamchukulia poaAnaitwa Dembele magician, Yani kule paris ndo atawashow
Bundesliga?Usajili ghali kuwai kufanyika bundesliga alaf arsenal wanamchukulia poa
Dembele alisajiliwa na barcelona kutoka dortmund akiwa kijana mdogo Kabla hajaenda huko psgBundesliga?
Ukiachana paragraph ya mwisho, hizo zingine zote tupo pamoja4 games
PSG vs Villa home and away
PSG vs Loserfools home and away
Loserfools away won 1 - 0 goli la jioni. Home lost 1 - 0
Villa away were defeated 3 - 0. Home they won 3 - 2
Ni kivipi Villa walimanage kuscore magoli 3? Aliyechukua kombe England, Loserfools, akiwa nyumbani couldn't do that. What happened?
Loserfools walishinda first leg, second leg opted same route waliyopita nayo first leg. Absorb pressure, Dembele disappointed them kwa goli la mapema la dakika ya 12. Loserfools reacted but luck was never by their side.
Three big chances, na zote wakamiss.
Njoo kwa Villa, first leg wakafungwa 3. Second leg mapema tu dakika ya 11 PSG wanapata goli la kwanza. Villa reacted, ikawapa 6 big chances ambazo 5 wakamiss ila wakascore magoli 3 PSG wakapata mawili.
I think attitude determined kila kitu kwenye game na PSG, Loserfools wakiwa away walicheza kama underdog ila home right after goli la mapema la Dembele wakaopt different tactic. But tangu mwanzo attitude ilikua kulinda ushindi.
Villa second leg ilikua hawana cha kupoteza so they went all out. Dignity ilishakua tainted Paris so hawakua na cha kupoteza. Their attitude gave them three goals, forward yao plus Rogers na McGinn wote wakawa focused na shooting.
Second leg against PSG inabidi tuache tabia mbili tatu unnecessary sideway passes, hesitation kwenye kushoot, CMs kusambaratika. Nashindwa sema Partey angekuepo ingetubeba kwakua tulikua shit kwenye kucapitalize chances, hii haihusiani na Partey.
Tukutane tena
Kwahiyo tufute goli kisa partey hakuwepo kwahiyo mlicheza pungufu hamkuwa 11 hahaha watu wameshachanganyikiwa hukuuu🤣🤣🤣🤣Ukiachana paragraph ya mwisho, hizo zingine zote tupo pamoja
Paragraph ya mwisho, laiti partey angekuwepo ata lile goal psg wasingepata, dembele alipita kati free kabisa akatoa mali then akajipositio free kabisa
Kutokuwepo kwa partey ilimfanya saka ashuke sana chini, rice ameteseka sana
Kutokuwepo kwa partey, psg walituwin pale kati (midfield yote)
Kutokuwepo kwa partey tulifanya beki zetu ziwe exposed kirahisi sana
Rice ali-mind sana partey alivyokula njano kule bernabeu coz aliona mbali
View attachment 3320316

Castr kumfananisha na Masingeli ni kumuonea tu, kama ulikua unamfatilia tokea kipindi cha nyuma Castr alikua anampinga masingeli waziwazi humu, huyu jamaa mpaka chawa za Masingeli zilikua zinamuwekea bifu humu na kumuona kama msaliti kwa jinsi walivyokua wanatofautiana nae kwenye mitazamo juu ya Tetea na Kai kiazi wake.AiseeHistoria inaonyesha PSG ajawai kumfunga kabisa arsenal ndani ya dk 90. Tangu 1994
Real madrid nae ilikuwa hivihivi.
#UEFA
View attachment 3315245