BONNIE GOLD
JF-Expert Member
- Jan 27, 2021
- 485
- 959
Maaaaamaaaaeeeee
Pigaaaa haooooo
Pigaaaa haooooo
Dah Kiukweli hii comment dada umetisha😂😂😂Ni aibu kubwa wanaume ligi imewashinda mnabadilisha gia hewani kujidai ni mashabiki wa ligi ya kina Mama😂
dembele - dembelesafi mkuu, tunasubiri mbungi kwa ushabiki mkubwa,, kuweni makini sana na dembele alikasirika sana baada ya balaa la aston villa 🤣
Au sioTumeweza kuwamudu hizi njemba: vini, mbape, Rodrigo, belligham, modric
Alafu wavulana wa ligue 1 ndio waje kutusumbua?
mi sikurupuki kuandika vitu na ndio mimi niliesema vitinah ata waua kitimu angalia uko kina chojiri tajiriKuna mtu mmoja kaja hapa anatuambia Vitinha atatuua.
But last game Vitinha alikuepo pia.
Last game na hii Luis kabadilisha watu 3 hivi, Kvara, Dembele na Luiz. Wengine wote last match walikuepo.
Dembele ni mzuri miguu yote, atadribble na kushoot kwa mguu wowote ana pace, skills, flair, vision ila Dembele siyo finisher mzuri. Ni chance creator zaidi kuliko scorer.
It explains kwanini wao hutengeneza chances nyingi ila kuscore hua low kiasi.
Kvara is good, wazia Mitoma ila minus uoga and more ego. Barcola mzuri kwenye wing pia.
So on paper their forward iko lit na inatakiwa kuscore left, right and centre. Donnaruma ni hatari, Saka anamjua huyu mtu.
Tunakutana na elite team on paper ambayo inaweza rely kwenye individual brilliance na ikawalipa.
Let the best tactics win
Acha basi😄😄Arsenal Women Football Club