mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,225
Vyanzo mbali mbali plus super computer wanaipa arsenal asilimia kubwa ya kubeba UEFAChawa katika ubora wake wa false hope, ila mkorea hizi sio akili zako, itakua Masingeli amekuandikia halafu kakwambia upost.
Halafu hapo we itaje tu Liverpool moja kwa moja, achana na kujifichia kwenye timu ya England ili kujilisha matumaini hewa kua kifo cha Papa ndio kafara ya Arsenyau kubeba Uefa msimu huu.
Hii issue ya kifo cha Papa hua inakuja na special offer kwa Liverpool, na msimu huu imeenda kwa Liverpool kubeba Epl, nyie kima hamhusiki kwa lolote na huu msiba wa dunia, acheni kujipa kipaumbele katika mambo yasiyowahusuView attachment 3313738
Liverpunda acha achukue hicho ki-EPL, sisi tunalibeba li-UEFA
NB
Bilbao anawapiga home and away

winner 