makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,428
- 108,439
Game ya leo naiwazia bila partey yule mpuuzi aliwezaje kufanya upuuzi ule na anajua game ijayo ataikosa.. kioe alichokifanya declan rice ni hali ya upambanaji wa hali ya juu, tunahitaji watu wa namna ile, yule hata kuwa captain anafaa... Sio fundi kiviile, ila spirit ya upambanaji ipo juu sana, wachezaji wa diego simeone wale